Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 4,776
- 4,328
π π π π π π π π π πWatu wenye njaa mda shida sana, na hizi chuki zenu hazijawahi wasaidia mkaacha kula dagaa, mna dhiki tabu, njaa na ufukara, badala mtulie muombe Mungu mpambane, mnaendekeza Majungu, umbea na uzandiki.