Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

Kuna haja ya kuanza kampeni ya kuchoma misikiti ili kubalance mambo!

hujui ulitendalo..dawa ya moto si moto..samehe 7 mara 70,ukipigwa shavu la kulia,geuza na la kushoto..we mkristo wa wapi,usiyejua hata mafundisho ya dini yako?
 
Mungu Mtakatifu uishiye milele. Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, sawa na Neno lako, naungama dhambi ya Tanzania na vizazi vilivyotangulia. Naam hata kizazi cha nne. Naomba usamehe dhambi ya Kanisa na Tanzania yote. Na ikiwa nimepata kibali machoni pako, naomba usikie kuomba kwangu nikuombapo leo mahali hapa.

Mungu unayeishi, Wewe ni Jehova Elyon. Umejulikana kwamba ni Bwana wa Vita na Bwana ndilo jina lako. Naomba Mungu, Kwa nguvu za Uungu wako pigana dhidi ya mtesi wa kanisa. Baba likumbuke kanisa lako. Nakutwisha fadhaa za kanisa na huzuni zake. Mateso yote na uovu unaotendwa na uliopangwa kufanya dhidi ya Kanisa la Tanzania umejulikana Mbele Zako. Walipokusanyika na kujipanga kinyume cha Kanisa baba ulikuwepo. Silaha zao Zimejulikana na wewe.

Sasa kwa Mamlaka ya Jina la Yesu, ninaamuru umoja wao ukome mara moja. Naharibu maelewano katika lugha zao. Nadhoofisha wakuu wao na kubatilisha maagano yao. Navunja vunja viapo na madhabahu ambazo juu yake maagano ya kulitesa kanisa yalifanyika. Naagiza silaha zao zikawe juu ya vichwa vyao wenyewe. Malaika Michael na jeshi la Mbinguni apigane kinyume na falme, mamlaka, wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya yanayofanya vita na kanisa katika uwanja wa Roho.

Baba naagiza Roho wa Uzima juu ya Kanisa lako. Kila Mkristo namzungushia Damu ya Yesu Kristo. Wema wako Mungu uonekane na kanisa lako likuimbie Sifa na Zaburi maana wewe umefanya kwa ajili yako Mwenyewe.

Utukufu Ubaki Kwako Mungu wa Pekee.

Katika Jina la Yesu nimeomba.

Amen.

WATU WOTE TUSEME AMEN!.
 
Wanajamvi hali ni tete na ni ya hatari katika maisha ya wanaokwenda kusali. Huku Tabora mbele ya kanisa la KKKT waislam wameweka tangazo kuwa watalichoma kanisa hilo muda wowote. Kanisa hilo lipo karibu na Hotel ya Orion Tabora (Tabora Hotel).

My take;

Tunakoelekea baada ya kumaliza makanisa sasa zitafuatwa nyumba za wakristo wote, ninadiliki kukubaliana na hili kwani nilipokuwa Bukoba wiki iliyop[ita nilishuhudia mwenyewe mazungumzo ya waislam juu ya mazishi ya Kardinali.



Nimeongea na ndugu zangu muda uliopita wanakaa hapo TTC chuo cha ualimu karibu kabisa na kanisa la KKKT wanasema huo ni uzushi! Hebu funguka zaidi mkuu hii umeona mwenyewe au umesimuliwa?
 
Hapa kuna dalili ya viongozi wa makanisa ambao sio waaminifu mbele ya mungu kufanya mpango wa kuchoma makanisa yao wakiwa na dhana ya kujengewa makanisa mapya na serikali, haiingii akilini kila kukicha makanisa yanachomwa maeneo hayo hakuna walinzi? ninavyo fahamu mimi makanisa mengi yanawalinzi ambao ni waumini wa madhehebu hayo.
 
Nimeongea na ndugu zangu muda uliopita wanakaa hapo TTC chuo cha ualimu karibu kabisa na kanisa la KKKT wanasema huo ni uzushi! Hebu funguka zaidi mkuu hii umeona mwenyewe au umesimuliwa?

Jamani kama haupo sehemu ya tukio usibishe bila kuwa na ushahidi. Ni juzi tu walitoa taarifa ya kuchoma kanisa la RC Jimbo kuu la Tabora na leo wakaweka bango la hali ya hatari ya kuchoma kanisa la KKKT. Usiwe mbishi hadi uone wamechoma ndo uamini. Kwa sasa watanzania wote yatubidi tuwe makini iwe muislamu au mkristo kwani kama yakinikuta mimi ambaye ni mkristo nikiwa na rafiki yangu ambaye ni muislamu watatutenda wote kwa usawa bila ya kujua kama rafiki yangu ni muislamu ukizingatia ni wachache wenye kufahamika kama waislam kwa kuwa na SIGDA (kama nimekosea herufi samahani).
 
Kwa upuuzi huu, uliotengenezwa na Watawala kupata kura 2010, ni wazi ICC The Hague iko mlangoni.
 

Kanisa la Pentecoste [MMPT] lililopo Buronge katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji liisa hilo,mabechi 14, ubao wa kufundishia, mikeka 3 na mlango 1 viliteketea kwa moto. Jumla ya mali zilizoteketea kwa moto ni Sh.Milioni 1,337,000.
Kamanda huyo alisema “kiini cha tukio hili bado kufahamika, hakuna madhara kwa binadamu, upelelezi wa tukio hili unaendelea ili kuwabaini wahalifu hao kwa hatua za kisheria”alisema.
Kwa upande wake Mchungaji wa Kanisa la Pentecoste [MMPT] Emanueli Simoni [49] alisema,”mimi nilipata taarifa kuwa kanisa langu limeteketea kwa moto, nilikwenda polisi Sentro kutoa taarifa, ndipo tulikwenda eneo la tukio tukakuta kanisa lote limeteketea kwa moto”alisema.
Eliasi alisema tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 4 usiku katika eneo la Buronge katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Alisema katika kanisa kulikuwa na Mabechi 14, Mlango 1, Vilago 3, Sanduku za kutozea sadaka na ubao wa kufundishia.Vyote vikiwa na thamani ya Sh. Milioni 1,337,000 mali ya kanisa hilo.
Alisema ajui watu waliochoma kanisa hilo, wala hakuna mtu anayeshikiliwa na polisi kuhusiana na tukio hilo.
Mchungaji huyo anaiomba serikali iangalie sana matatizo ya uchomaji wa makanisa sasa yanaenea nchi nzima. Pia amelitaka Jeshi la polisi Mkoani hapo kufanya doria kwenye makanisa wakati wa usiku ili kukomesha vitendo vya uchomaji wa makanisa.
Alisema kanisa ni taasisi ya jamii hivyo anaomba serikali ichangie gharama ya ujenzi wa jengo hilo ili wananchi wanaohabudu katika kanisa hilo wapate sehemu ya kuabudia.
Picha hii inaonyesha Mchungaji wa kanisa la Pentecoste [MMPT] Emanueli Simoni [49] akiwa amesimama ameshika kechi kwenye kanisa hilo lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana majira ya saa 4 usiku eneo la Buronge katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Picha hizi zinaonyesha Mchungaji wa Kanisa la Pentecoste [MMPT] Emanueli Simoni [49] katikati akiwa na waumini wake wakiwa wamesimama kwenye jengo la kanisa hilo lililoteketea kwa moto jana eneo la Buronge katika Manisipaa ya Kigoma/Ujiji na vitu vyenye thamani ya Sh. Milioni 1,337,000 viliteketea kwa moto jana eneo la Buronge katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
 
Wabongo kuweni Makini, haya mambo yatawafikisha pabaya. Just saying and thinking loud.
 
kwa hiyo uamsho wapo mpka kigoma? aisee mi hofu yangu ni ikitokea wakristo wakaanza kurevenge
 
kanisa+moto......jpg
 
Back
Top Bottom