Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

Sasa watu wengine wanatania tu. Hayo maeneo ni ya wapi.
Watu kuweni makini wengine hapa ndo kituo chetu cha kupata habari. Msilete habari za utani.

Jamani hayo maeneo yapo kigoma,nami pia nipo kgm ila bdo cjapata hzo hbr.
 
Jamani utani mwingine kama kweli ni utani haufai!. Watu wasije wakaanza kuchukua hatua za kujihami, visasi ama kuunga mkono.
 
Samahani mleta post, ni mkoa/wilaya gani yapo hayo makanisa?

Bushabani na Gungu kote ni ndani ya Manispaa ya Kigoma-Ujiji. Hiyo Bushabani ni Ujiji mjini. Hiyo sehemu nyingine ni Kigoma Vijijini Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa Zitto Kabwe.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wanajamvi hali ni tete na ni ya hatari katika maisha ya wanaokwenda kusali. Huku Tabora mbele ya kanisa la KKKT waislam wameweka tangazo kuwa watalichoma kanisa hilo muda wowote. Kanisa hilo lipo karibu na Hotel ya Orion Tabora (Tabora Hotel).

My take;

Tunakoelekea baada ya kumaliza makanisa sasa zitafuatwa nyumba za wakristo wote, ninadiliki kukubaliana na hili kwani nilipokuwa Bukoba wiki iliyop[ita nilishuhudia mwenyewe mazungumzo ya waislam juu ya mazishi ya Kardinali.
 
Bushabani na Gungu kote ni ndani ya Manispaa ya Kigoma-Ujiji. Hiyo Bushabani ni Ujiji mjini. Hiyo sehemu nyingine ni Kigoma Vijijini Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa Zitto Kabwe.

Kumbe haya maeneo yapo kweli, dooh sasa ni balaa
 
Jamani utani mwingine kama kweli ni utani haufai!. Watu wasije wakaanza kuchukua hatua za kujihami, visasi ama kuunga mkono.
Mkuu sina utani wowote na mtu kwani hata mimi nakasirishwa sana na hii hali.
 
Chonde Chonde ndugu zangu Waislamu msijaribu kuchoma kanisa letu la Bukoba Cathedral. Tumeangaika nalo siku nyingi kulikarabati. Please please please.
 
walianzisha kwenye uchanguzi ndio wauone udini unavyokula wananchi yaani jk na serikali yake walihubiri sana neno udini na ndio uliomsaidia kushinda leo hii hatari tena hatari ya kutisha nayeye anakula good time Oman
 
Tunakula nao kitimoto, tunakunywa nao, wengine ni mashemeji zetu lakini sasa hivi ni maadui. Ndugu zangu wakristo angalia ukiwa kwenye bar unakunywa na Said usimwachie glass yako. Ogopa kama ukoma
 
kama hayo makanisa matatu yaliyochomwa ni la Pentekoste lililopo manispaa ya Ujiji (hili liliteketea lote), la pili ni la Anglican lililopo mtaa wa Bustani katika Halmashauri ya Kigoma mjini na la tatu ni la Tanzania Assemblis of God (TAG) lililopo kijiji cha Mkongoro, habari hii ipo humu JF tangu juzi.
 
Back
Top Bottom