Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

Siku zote njia ya mwongo fupi na mwisho wa ubaya ni aibu. Mleta mada naona umegundua kosa lako ndio maana umeamua kutokomea kizani. Ni vema kujipanga kwanza kabla ya kuleta topic hapa,sio kila kitu tushabikie tu bila sababu.

jamani tunapopewa taarifa tusiwe wepesi kubisha, taarifa hizo ni za kweli..mabaki ya kanisa hilo ni kama inavyooneka hapo chini,mwenye macho haambiwi tazama. Habari yenyewe ipo chini, ukiendelea kubisha umeamua.
Kanisa lachomwa moto.jpg
Muumini akishuhudia Kanisa la Pentekoste (MMPT) lililopo Buronge la Manispaa ya Kigoma/Ujiji, liliteketezwa kwa moto na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana.
Source::: IPPMEDIA
Habari kamili:
Saa chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwasihi viongozi na waumini wa dini za Kikiristo na Kiislamu nchini kuwa wavulilivu na kujiepusha na vitendo vya kulipiza visasi, Kanisa la la Pentekoste (MMPT) lililopo Buronge katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji limechomwa moto na kutetekezwa kabisa na watu wasiojulikana.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Frasser Kashai, alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku majira ya saa 4:00 usiku katika eneo la Buronge mjini Kigoma.

Kashai alisema kanisa hilo lilichomwa na watu wasiojulikana na kwamba mali mbalimbali zenye thamani ya Sh. 1,337,000 ziliteketea.

Alisema sababu za kuchomwa kwa kanisa hilo hazijafahamika na kwamba hakuna mtu aliyejeruhiwa huku upelelezi wa tukio hili ukiendelea ili kuwabaini wahalifu hao kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

MCHUNGAJI ANENA

Mchungaji wa Kanisa hilo, Emmanuel Simon, alisema:

“Nilipata taarifa kuwa kanisa langu limeteketea kwa moto, nilikwenda Polisi Central kutoa taarifa ndipo tulikwenda eneo la tukio tukakuta kanisa lote limeteketea kwa moto.”

Alisema katika kanisa kulikuwa na mabechi 14, mlango mmoja, virago vitatu, masanduku ya sadaka na ubao wa kufundishia, vyote vikiwa na thamani ya Sh. 1,337,000.

Mchungaji Simon alisema hajui watu waliochoma kanisa hilo na kuiomba serikali iangalie matukio ya uchomaji wa makanisa yanayoendelea nchi nzima.

Pia, alilitaka Jeshi la Polisi kufanya doria kwenye makanisa wakati wa usiku ili kukomesha vitendo vya uchomaji wa makanisa.

Alisema kanisa ni taasisi ya jamii, hivyo anaomba serikali ichangie gharama ya ujenzi wa jengo hilo ili wananchi wanaoabudu katika kanisa hilo wapate sehemu ya kuabudia.
 
Yeleuwii Sultani anajambia angalieni picha vizuri na hapo yupo kwake akija bongo c atajifunga mabom? Jk nae hajachana nywele
 
Nayaona machafuko ya kidini kabla ya uchaguzi mkuu 2015. Hili jambo ni CCM ndio wanaolipandikiza kuwagawanya watu kabla ya 2015 kwa manufaa yao. Kaeni macho
 
jamani tunapopewa taarifa tusiwe wepesi kubisha, taarifa hizo ni za kweli..mabaki ya kanisa hilo ni kama inavyooneka hapo chini,mwenye macho haambiwi tazama. Habari yenyewe ipo chini, ukiendelea kubisha umeamua.
View attachment 68281
Muumini akishuhudia Kanisa la Pentekoste (MMPT) lililopo Buronge la Manispaa ya Kigoma/Ujiji, liliteketezwa kwa moto na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana.
Source::: IPPMEDIA
Habari kamili:
Saa chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwasihi viongozi na waumini wa dini za Kikiristo na Kiislamu nchini kuwa wavulilivu na kujiepusha na vitendo vya kulipiza visasi, Kanisa la la Pentekoste (MMPT) lililopo Buronge katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji limechomwa moto na kutetekezwa kabisa na watu wasiojulikana.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Frasser Kashai, alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku majira ya saa 4:00 usiku katika eneo la Buronge mjini Kigoma.

Kashai alisema kanisa hilo lilichomwa na watu wasiojulikana na kwamba mali mbalimbali zenye thamani ya Sh. 1,337,000 ziliteketea.

Alisema sababu za kuchomwa kwa kanisa hilo hazijafahamika na kwamba hakuna mtu aliyejeruhiwa huku upelelezi wa tukio hili ukiendelea ili kuwabaini wahalifu hao kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

MCHUNGAJI ANENA

Mchungaji wa Kanisa hilo, Emmanuel Simon, alisema:

“Nilipata taarifa kuwa kanisa langu limeteketea kwa moto, nilikwenda Polisi Central kutoa taarifa ndipo tulikwenda eneo la tukio tukakuta kanisa lote limeteketea kwa moto.”

Alisema katika kanisa kulikuwa na mabechi 14, mlango mmoja, virago vitatu, masanduku ya sadaka na ubao wa kufundishia, vyote vikiwa na thamani ya Sh. 1,337,000.

Mchungaji Simon alisema hajui watu waliochoma kanisa hilo na kuiomba serikali iangalie matukio ya uchomaji wa makanisa yanayoendelea nchi nzima.

Pia, alilitaka Jeshi la Polisi kufanya doria kwenye makanisa wakati wa usiku ili kukomesha vitendo vya uchomaji wa makanisa.

Alisema kanisa ni taasisi ya jamii, hivyo anaomba serikali ichangie gharama ya ujenzi wa jengo hilo ili wananchi wanaoabudu katika kanisa hilo wapate sehemu ya kuabudia.

kuna watu wataanza kuhusisha hili tukio na tukio la kuchoma makanisa mbagala! mkiendelea kutuletea habari za matukio ya dini yeyote kuonewa au kupendelewa mnaweza kuzalisha CHUKI NA HASIRA na mkasababisha vita nchini!!
 
Jamani ndugu zangu wakristo sasa ifike hatua tuseme basi liwalo na liwe. Kuna watu ambao leo hii tunawaita wenyeheri sababu walionyesha ujasiri kutetea imani yao mfano mashahidi wa Uganda. Ukisoma historia yao utaona ni jinsi gani waliweza kupigania dini yao dhidi ya uislamu hadi kufa. Tuna mifano mingi sana hata Israel ingekalia kuomba bila kuonyesha vitendo leo hii ilishapotezwa kwenye uso wa dunia. Kabla ya kuanzisha vita jiulize maswali haya: Je kuna sababu ya kupigana? Je kuna nia ya kupigana? Na je uwezo unao wa kumpiga adui yako? Wakristo tunayo majibu ya maswali hayo.
 
Hapa ilichobaki tuchapane tu..waislamu hawapendi amani kabisa,tutawavumilia mpaka lini??
Yani jamaa ni wachokozi na washari kama nini!
Wanalazimisha tuwachukie ata wale wachache walio wema...hawa jamaa sio wa kuwapuuza kuna siku watatuchoma tukiwa ndani ya makanisa..waislamu kama mmechoka amani nendeni somalia mkampiganie uyo mnaempigania tumewachoka.
 
Kumekua na usiri baadhi ya sehemu hapa nchini juu ya uchomwaji wa makanisa,makanisa makanisa,yamechomwa maeneo ya Bushabani maeneo ya Gungu,lingine limechomwa maeneo ya Buronge na la tatu limechomwa maeneo ya Mgalaganza,source ni mimi mwenyewe.
 
Samahani mleta post, ni mkoa/wilaya gani yapo hayo makanisa?
 
Sasa watu wengine wanatania tu. Hayo maeneo ni ya wapi.
Watu kuweni makini wengine hapa ndo kituo chetu cha kupata habari. Msilete habari za utani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom