Kati ya Ukerewe Mwanza na Kigoma wapi panaongoza kwa uchawi?

Mapunu jr

Member
Jul 30, 2023
45
49
Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,.

Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza??

Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze.
 
mkuu unautaka uchawi au?funguka usaidiwe. humu kuna kila fani. humu hata ukitaka mashetani unapewa.
ni wew tu
 
Back
Top Bottom