Makamu wa Rais ana kazi gani?

[FONT=century
gothic]yoyote ambaye hajui kazi za makamo wa rais they need to go back
to school .. seriously !? kama watu wazima hawajui no wonder watoto wao
wakafeli form 4 alafu wakalaumu serikali :nono:[/FONT]

Ukiona hivyo ujue ni udhaifu mkubwa wa watu kutokujua Katiba inatamka nini,katiba imeainisha waz majukumu ya Makamu wa Rais.
 
kama angekuwa na majukumu lile swala la jairo kwanini pinda alisema anamsubiri jk atue
 
Ukiona hivyo ujue ni udhaifu mkubwa wa watu kutokujua Katiba inatamka nini,katiba imeainisha waz majukumu ya Makamu wa Rais.
katiba ndo inaleta mkanganyiko juu ya kazi yake maana kabla ya vyama vingi alikuwa anafahamika kama raisi wa zanzibar ukisema watu hawajui unajidandanya
 
Hilo nalo tatizo. If anything happens to the president siyo bora kuachiwa mtu amabe ana experience ya day to day activities za serikali kuliko kumuachia mtu ambae alikua anakaa kaa tu?
Kweli kabisa.. Hebu tizama Mgombea mwenza wa CDM 2010.. ni darasa la saba... angeweza kweli kuongoza kizazi hiki cha digitali. Kwakuwa bado tuna fursa, tuliweke hilo kwenye maoni ya katiba
 
Ukiona hivyo ujue ni udhaifu mkubwa wa watu kutokujua Katiba inatamka nini,katiba imeainisha waz majukumu ya Makamu wa Rais.

Suala sio kujua katiba, kwanza katiba imeandikwa na watu kama sisi, ndiyo maana kuna wakati inahitaji marekebisho kulingana na mahitaji ya jamii husika. Suala linalotakiwa hapa ni kuona huyu mtu anatufaaje katika jamii yetu sio tuu kupeana ulaji ambao hata hajulikani anafanya nini, kama ubunge wa viti maalumu upuuzi mtupu kwenda kwenye baraza la wawakilishi bila kujua unamuwakilisha nani, sioni na wengine kama mimi hatuoni sababu ya kuwa na makamu wa raisi. Hatuoni kazi zake na hata kama zipo zinaweza kufanya na watu wengine.
 
Kazi ya makamo wa raisi nikukata utepe tuuuu..kwa sababu hadi kujitambulisha anasoma kwenye karatasi..nawakati sifa ya kiongozi ni kusoma vichwa vya habari nakutiririka ila yeye hadi nikta anasoma.
 
Mwaka 1998 akiwa Waziri Kiongozi wa Serikali kaidi ya Salmin Amour, wizi ulitokea katika hoteli ya Venta Mawimbini Club, yeye alienda na kumuamuru mwenye hoteli awafukuze Wabara kazini. Ikumbukwe yeye alikimbilia bara tu kujipatia ajira baada ya adui wake Amani Karume kushinda Zanzibar na yeye na team yote ya Salmin mpinga Muungano wa Kweli mfano kina Raza wote walikimbilia Bara, mara moja moja hata Maalim Seif alijificha Kariakoo akiwa amevaa Baibui la kike
 
Habari zenu wakuu.

Leo nina dukuduku ambalo nataka kulitoa. Sijui kama wenzangu linawatatiza pia. Hivi jamani makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kazi gani haswa?

Nauliza hivi kutokana na ninayoyaona kwahiyo kama sipo sahihi nitarekebishwa. Kila nikiona kwenye vyombo vya habari namuona makamu wa rais aidha anazindua kitu au ni mgeni rasmi sehemu au anafanya ziara sehemu. Yani amekuwa "mzee wa kukata utepe". Ninachosema ni hivi huyu mtu tunaemuita makamu wa rais tunamlipa na kumhudumia kwa ajili ya kuhudhuria sherehe tu? Kwa nchi masikini kama yetu why do we need a ceremonial leader?

Najua watu wataanza kusema oh ni kwa ajili ya ku-accomodate muungano. Siamini hiyo ni sababu. Kwa maana tunaweza kabisa kufuta nafasi ya makamo wa rais na tukasema rais akitoka upande mmoja wa muungano basi waziri mkuu atoke upande mwingine. Kwanini tupoteze rasilimali za nchi kwa ajili ya kuwa na mtu asiye na shughuli za maana ambazo hata rais na waziri mkuu wanaweza waka gawana na kufanya?

Sina nia ya kumshushia heshima makamu wa raisi wala nafasi ya umakamu wa rais ila ninachosema sasa ifike wakati aidha tumpe makamu wa rais kazi za maana za kufanya au tukifute hiki cheo. Kwa ufahamu wangu, Makamu wa Rais ni msaidizi wa rais kwa maana rais ndiyo anaamua ampe kazi zipi makamu wake. Sasa ni kwamba rais hamuamini makamu wake kumpa kazi zozote za maana?

Jamani hili ndilo dukuduku langu.

Kukata utepe kagua koti lake utakuta mkasi mpya kutoka Japan, pia kazi ya raisi ni kuandaa hafla fupi ikulu na kuhudhuria mazishi ya wasanii. nasisitiza wasanii na sio padre aliyeuwawa katika mazingira ya utata!
Tunamlipa ili kuokoa kurudia uchaguzi wa rais wakati wowote ikitokea rais aliyepo madarakani kupoteza sifa ya kuwa rais wa JMT kabla ya kumaliza muda wake.
Hatuwezi kufanya hivyo kwa sababu Zanzibar wana rais, ingewezekana hilo kama ingelikuwa ni serikali tatu.

Nkunya, M M
 
Dukuduku hili lisicheleweshwe kwenda kwenye Maoni ya Katiba Mpya, kwani naona ni ''Substantial Opinion''
 
Back
Top Bottom