Tuwe makini katika kuwapa watoto majina, kwani zipo roho zinaambatana na majina.
Kwa nini umwite mwanao jina la mtu mwingine wa zamani? atachukua jina na tabia za huyo
mtu. wazazi ndio wenye maamuzi ya mwisho kumpa mtoto jina.Na kwa ushauri wangu wazazi
tuwe na tabia ya kuwapa majina watoto wetu ya kwao wenyewe yaani tupange sisi wazazi si
kurithisha majina ya watu wengine watoto.
Ukweli karibia kila jina unalofikiria kuna mtu alishaitwa, labda tu humjui wewe. suala la roho zao kuwafuata ni imani yako tu, ukishakufa kila kitu kwaheri. mwili na roho yako kwisha habari.