Majina ya watoto

Tuwe makini katika kuwapa watoto majina, kwani zipo roho zinaambatana na majina.
Kwa nini umwite mwanao jina la mtu mwingine wa zamani? atachukua jina na tabia za huyo
mtu. wazazi ndio wenye maamuzi ya mwisho kumpa mtoto jina.Na kwa ushauri wangu wazazi
tuwe na tabia ya kuwapa majina watoto wetu ya kwao wenyewe yaani tupange sisi wazazi si
kurithisha majina ya watu wengine watoto.

Ukweli karibia kila jina unalofikiria kuna mtu alishaitwa, labda tu humjui wewe. suala la roho zao kuwafuata ni imani yako tu, ukishakufa kila kitu kwaheri. mwili na roho yako kwisha habari.
 
Mtoto/watoto wangu majina naamua mimi. Hamna cha shangazi, babu, bibi, mjomba wala binamu. Wao wakti wao ulikuwepo , majina yao yalifahamika kama yao na mtoto nae awe na jina lake badala ya kuwa kivuli cha waliokwisha kufa ama kuzeeka.

Bahati nzuri hata kwetu ndivyo ilivyo. . .kila mtu na jina lake. Majina ya wazee yapo kinyumbani zaidi.
 
Kinyumbani zaidi ina maana gani?
 
Unamwiga jina la x bf wako aliyekupiga kibuti unaishi maisha yako yote na kumbukumbu hahaha:lol:
 
Mie wanichagulie tu
Ila yasiwe na maana mbaya kama tabu, masumbuko, matatizo hayo siyataki

Ila Mayunga, Masunga, Masanja, no problem
 
Mtoto/watoto wangu majina naamua mimi. Hamna cha shangazi, babu, bibi, mjomba wala binamu. Wao wakti wao ulikuwepo , majina yao yalifahamika kama yao na mtoto nae awe na jina lake badala ya kuwa kivuli cha waliokwisha kufa ama kuzeeka.

Bahati nzuri hata kwetu ndivyo ilivyo. . .kila mtu na jina lake. Majina ya wazee yapo kinyumbani zaidi.

Kabisa..mi nkiwa mmoja wa watu ambao they hate their names(its not traditional)but la bibi,.my mum also regrets for the choice she made..though tunasema ni imani ila,wakati mtoto anapewa jina,what is the first thing you think about?(mama,dada,kaka,baba yako)kuna roho zinabebwa from just that thought! maybe tungekua tunawapa majina ila we pray for them before doing it,kuvunja hizo roho.. i was given a name ya bibi wa kambo(my dad hates her) growing up i did feel that my dad hated me,in many ways,ni miaka ya karibuni i changed my way of thnkn and acting..
 
Ninafahamiana na dada mmoja wa Kisomali ambaye kwa sasa ni mjamzito. Juzi nikamuuliza kama ameshaamua jina la kumpa kiumbe mtarajiwa kama atakuwa ni msichana/mvulana. Majina aliyonipa ya kike na ya kiume yoto yalikaa kiwestern western ingawaje alisema majina hayo yapo pia katika dini yake ya Kiislamu. Na akadai hataki mtoto wake abaguliwe kwa namna moja au nyingine kuanzia na marafiki zake kwa kumtania au hata itakapokuja kuomba kazi na pia wataomfahamu wasipate shida kulitamka jina lake.
 
majina mengine ya kimafumbo,jamani huwa mabaya.mtoto mwenyewe akikua,hujibadilisha,na kuongeza nakshi nakshi.kama sikuzani,atajiita zein,au kijakazi,utasikia kei
 
Maana yale tunaitana nyumbani pekee/ndani ya familia kwa wale tuliyonayo.

Yaani uwe na jina la ndani ya ukoo ila kutoka nalo nje unaona aibu!

Ndio kuwapa watu wa nje thamani kuliko familia tu.

Mtu yupo radhi mtoto aitwe faith, happiness, rose lakini si yenye maana hiyo hiyo kwa Kiswahili!

Mtu anataka mtoto aitwe Hilarry lakini si Bhoke

Tunajishusha sana bila ya sababu za msingi
 
Nani aliyeongelea aibu?
 
Sidhani kama ni aibu. Baadhi yetu tuna majina ya ndani ambayo yanajulikana zaidi kwa wanafamilia kuliko watu wa nje. Hii ni kawaida sana na aibu haihusiki hata kidogo!
 
Sidhani kama ni aibu. Baadhi yetu tuna majina ya ndani ambayo yanajulikana zaidi kwa wanafamilia kuliko watu wa nje. Hii ni kawaida sana na aibu haihusiki hata kidogo!

Ila ni kitu gani?

Na hayo majina mawili yanatofauti gani?
 
Sidhani kama ni aibu. Baadhi yetu tuna majina ya ndani ambayo yanajulikana zaidi kwa wanafamilia kuliko watu wa nje. Hii ni kawaida sana na aibu haihusiki hata kidogo!
Kama yangekua ni aibu hata ndani ya familia tusingependa yakitumiwa. Binafsi napenda langu litumike na wale watu wangu wa karibu, wanaonijua haswa na sio kila mtu kwasababu then linakuwa la kawaida kama lile nnalotumia kila mahali.
 
Ila ni kitu gani?

Inaweza ikawa ni mazoea tu, affection, ufupisho, au sababu yoyote ile...lakini si ajabu hata kidogo kwa watu kuwa na majina ambayo wazazi wao au ndugu zao huwaita nyumbani lakini huko nje hujulikana kwa majina tofauti.

Na hayo majina mawili yanatofauti gani?

Majina yapi unayoyaulizia?
 
Kama yangekua ni aibu hata ndani ya familia tusingependa yakitumiwa. Binafsi napenda langu litumike na wale watu wangu wa karibu, wanaonijua haswa na sio kila mtu kwasababu then linakuwa la kawaida kama lile nnalotumia kila mahali.

Mimi binafsi baba na mama yangu na hata baadhi ya wajomba na shangazi kuna jina ambalo huniita lakini huku uraiani watu hawaniiti hivyo.

Na wananiita hivyo affectionately na kama ulivyosema, mimi sasa nishazoea kabisa wao kuniiita hilo jina kiasi akiniita mtu mwingine nitashangaa.

So I absolutely don't see where shame comes into play here!!
 
Binafsi napenda langu litumike na wale watu wangu wa karibu, wanaonijua haswa na sio kila mtu kwasababu then linakuwa la kawaida kama lile nnalotumia kila mahali.

wakti wao ulikuwepo , majina yao yalifahamika kama yao na mtoto nae awe na jina lake badala ya kuwa kivuli cha waliokwisha kufa ama kuzeeka.

Kwa mtu asiyependa kuwa kivuli cha waliokwisha kufa na kuzeeka inastaajabisha kuwa kumbe analipend kiasi cha kuwa hataki liwe la kawaida sana!

Which is which madam?
 
Ukoloni Mamboleo huo. Mwacha mila ni mtumwa. Haya endelea kuwaita watoto wenue ..David Cameroon..ilihali hamfahamu maana yake. Maana mmeona kuwawaita Mafuru, Maganga, Atugainile, Mwakifulefule, Marwa, Chubwa, Mapunda, Rwabutomize ni ushetani kama mlivyofundishwa na Mkoloni.
 
Back
Top Bottom