Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,820
- 59,407
Mbona hilo lipo wazi
Kwako wewe sio kwangu.
Mbona hilo lipo wazi
Inaweza ikawa ni mazoea tu, affection, ufupisho, au sababu yoyote ile...lakini si ajabu hata kidogo kwa watu kuwa na majina ambayo wazazi wao au ndugu zao huwaita nyumbani lakini huko nje hujulikana kwa majina tofauti.
Majina yapi unayoyaulizia?
Kwako wewe sio kwangu.
Kwa mtu asiyependa kuwa kivuli cha waliokwisha kufa na kuzeeka inastaajabisha kuwa kumbe analipend kiasi cha kuwa hataki liwe la kawaida sana!
Which is which madam?
Hapa huu mdolongo wote umeanza na watu kusema hawayataki majina ya wazee wao, wanataka brand new names kwa watoto wao
Ndicho kilichonipelekea kuuliza kuwa unakuwa na jina la kizamani/kishamba ambalo unaona poa ukiitwa nyumbani lakini Shule huko na mtaani kwenye watu wengine unapewa jina la kisasa
Kama Si kuwa unalionea aibu hilo jengine kwa nini umpe mtoto majina mawili au zaidi?
Pili hata kama ni la kurithi halimfuati mtoto popote aendapo, meaning hana haja ya kuishi kama kivuli cha aliyepita. Asipolipenda anaweza akaomba familia isiimwite hivyo tena na wakaacha. . .huo ndio utakua mwisho wa hilo jina kuhusishwa na huyo mtu. Tofauti na yale ambayo ndio yamefanywa official. . .kama kubadili mpaka mtu akaanze kuhangaika na mahakama huko na jina lilishazoeleka kila mahali.
Kulionea aibu is written all over this one. Kuwa kama jina la kizamani basi kuna chance kubwa kuwa hutalipenda, hivyo kukupa loop hole kuwa lisifanywe rasmi ili uweze kulifuta mara moja ukiamua
Ulivyong'ang'ania. . .utadhani unalijua hilo jina mpaka uongelee uzamani.Kulionea aibu is written all over this one. Kuwa kama jina la kizamani basi kuna chance kubwa kuwa hutalipenda, hivyo kukupa loop hole kuwa lisifanywe rasmi ili uweze kulifuta mara moja ukiamua
Okay, nimekuelewa sasa.
Ila kwa mimi binafsi ninapenda sana kuwa na majina ya kikwetu. Lakini siku hizi kuna kamtindo kametokea ka watu kuwa na majina hasa ya ki Anglo-Saxon....
Unakuta mtu ambaye ni Mmakua lakini anaitwa Martin Alexander! Au Mndengereko anaitwa Faith Jackson....unabaki unajiuliza tu...really?
Lakini jina linakuwaje la kizamani?
Ulivyong'ang'ania. . .utadhani unalijua hilo jina mpaka uongelee uzamani.
I'm outta here!!
You are excused
Hiyo ndo my point exactly...hivi kwa nini hatupendi majina yenye asili za kwetu na tunataka lazima majina ya Kizungu ndo tujione tumeitwa jina jema?
Mtu anang'ang'ania hataki jina la kizamani ukimuuliza la kisasa ni lipi atakwambia Michelle, Catlyne, Hillary ...wewe mwenyewe unabaki mdomo wazi
gaijin,
hayo majina ya kizamani inategemea na maana, mfano mtu uitwe mshira gwa ng'ang'a!!!!!
Loh lazima mzazi nikatae
mi ata aitwe hivyo ni sawa ila mpango mzima wa Lazima litoke kwa wazee kwangu sio issue na sipendi kabisa..
nakuunga mkono.Ukoloni Mamboleo huo. Mwacha mila ni mtumwa. Haya endelea kuwaita watoto wenue ..David Cameroon..ilihali hamfahamu maana yake. Maana mmeona kuwawaita Mafuru, Maganga, Atugainile, Mwakifulefule, Marwa, Chubwa, Mapunda, Rwabutomize ni ushetani kama mlivyofundishwa na Mkoloni.