Majina ya watoto

Bukayo jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,782
1,638
Habarini wana MMU

Kuna kasumba imezagaa sana huku uswahilini na hasa kwa wale ambao wanandoa lakini wako concervatives yaani unakuta watu wameoana na mtoto akipatikana lazima kiwekwe kikao yajadililiwe majina kwa VOTE litakalopita ndio la huyo mtoto regardless we mwenye mtoto hulipendi ama la na kuna wakwe wengine anafanya BOOKING kabisa kakitokea ka kike utamwita "NYAMWEKO" kwani ilo ni jina la marehemu bibi yangu sasa huu utaratibu ulitokea wapi???? unakuta majina yanajirudia rudia humoo wee kisa mjomba,kaka mtu, wakwe woote wabandikwe PHOTOCOPY ZA MAJINA KWA WATOTO mi hii kitu inaniudhi sana na njooni mnijuze kama labda ni mila na utamaduni wa kitanganyika......Baya zaidi ikitokea labda upande mmoja wa ukweni (kwa mama) yametoka majina kadhaa malalamiko yanaanza upande wa kiumeni oooh mwanetu kashapigwa limbwata..haya niyasemayo yamemkuta dada flani namfahamu ma mkwe wake alitaka mjuu wa kike aitwe jina lake ye akaona sio zuri akamshawishi mumewe walipotezee sasa Cha AJABU mjukuu akienda kwa bibi anaitwa Jina alilokuwa kachaguliwa na Bibi na anamchukia mbaya huyu dada eti kamteka mwanae...mtu na mkwewe hawakai pamoja kisa majina ya watoto walio wazaa wenyewe Lol
 
Habarini wana MMU

Kuna kasumba imezagaa sana huku uswahilini na hasa kwa wale ambao wanandoa lakini wako concervatives yaani unakuta watu wameoana na mtoto akipatikana lazima kiwekwe kikao yajadililiwe majina kwa VOTE litakalopita ndio la huyo mtoto regardless we mwenye mtoto hulipendi ama la na kuna wakwe wengine anafanya BOOKING kabisa kakitokea ka kike utamwita "NYAMWEKO" kwani ilo ni jina la marehemu bibi yangu sasa huu utaratibu ulitokea wapi???? unakuta majina yanajirudia rudia humoo wee kisa mjomba,kaka mtu, wakwe woote wabandikwe PHOTOCOPY ZA MAJINA KWA WATOTO mi hii kitu inaniudhi sana na njooni mnijuze kama labda ni mila na utamaduni wa kitanganyika......Baya zaidi ikitokea labda upande mmoja wa ukweni (kwa mama) yametoka majina kadhaa malalamiko yanaanza upande wa kiumeni oooh mwanetu kashapigwa limbwata aaaaaagh

Nawasilisha

...Kweli kabisa hili ni tatizo na wengi katika kutafuta namna ya kupambana nalo wameamua kuwapa majina watoto ambayo hayapo pande zote mbili lakini hili nalo linawakweza Wazazi wa mume na mke.
 
...Kweli kabisa hili ni tatizo na wengi katika kutafuta namna ya kupambana nalo wameamua kuwapa majina watoto ambayo hayapo pande zote mbili lakini hili nalo linawakweza Wazazi wa mume na mke.
Ni sehemu ya utamaduni wa Mtanzania? au? maana koroooooooooooo
 
Jamani hizi Hints nimezibandua sehemu!!

Naming your baby is something that you'll have to live with the rest of your life, and so will the baby. So, keep in mind these hints when picking a name for your new bundle of joy.

Beware, fetal names stick! Jellybean and Ladybug are cute names, no doubt. Remember what you name your fetus will come out of your mouth postpartum!

How does the name sound? Does it roll off of your tongue, or get stuck there? Seth Weiss comes out a garbled mess, Adam Weiss flows a bit better.

Don't choose the name of your least favorite person or a name that brings up bad memories for you. My husband and I both love Rachel, but then we know this woman... Trust me, our future daughter's are better off not being named Rachel. The same applies for the names of ex-girlfriends and boyfriends.

Initials! Don't make your child the laughing stock of the neighborhood by naming them Christopher David Player (C.D. Player) or Annie Sue Stiles. (You get the picture...)

Naming for religious reasons. Do you have a religious belief or family traditions about naming your child after a family member? Some religions do, and in fact, some religions require that the person you are naming your child for be deceased. Even though naming an entire name is the most common way of doing this, you can also use the same initials.

Avoid the same name. While I strongly believe in naming children for family lines and traditions. It can be difficult to have a Junior in the house, especially when they start to get a bit older. Keep this in mind and consider giving the baby another name to go by, while still holding up the family tradition.

Chose names for both genders, despite what an ultrasound has told you you are having. Occasionally these are wrong, don't be caught off guard with only one name. And never fear the pink dresses can be returned!

Watch out for nicknames! Unless of course you like them. We have a Benjamin and certainly don't want him to be Ben or Benji. While others will name a child Joey, instead of Joseph, make it your idea of what to name the baby and stick with it. I'll never forget that first pediatrician visit where my doctor kept referring to my newborn as Ben. Benjamin is now 6 and sticks up for himself!

Can you live with it? My mother always told me to scream the name several times out the back door, like I was calling the baby in for dinner. If I could manage to do that without cringing then I could probably live with the name.

Be flexible! Don't get too attached to a baby name prior to birth, consider having a few names picked out. I've been to more than one birth where once the baby got there she or he didn't look like the names the mom and dad had picked out.

Tips for Naming Multiples

If you've been blessed with twins or more, you've got twice the work to do! When naming multiples there are several things to keep in mind.

When medically referring to your multiples you will hear Baby A, B, C, D, etc. Some people chose to give their babies names that correspond to these letters. For example: Alex, Britni, Cassie, Dillon, Emory, and on down. However, remember that siblings will be siblings, this will probably cause a fight because of the constant reminder as to who came first!

Some people prefer to give their children names that sound familiar. Remember that while this looks great on paper, it can be very difficult when when trying to get Cristin and Chris to respond.

You also need to watch out for initials, with an added fact. Mason Andre Smith and Mary Ann Smith have the same initials. This can be a bear when it comes to initialing clothes for camp, books, toys, and everything else on down the line.

Naming Hints for A Baby, Not Your First

Now that you're an experienced parent and you've lived through the naming process before you can learn from your mistakes. Or you can make new ones!

Don't let your older children help name the baby! I've heard names like Big Bird, Broccoli, Kit Kat and many other names come out of little mouths.

Keep your older children's names in mind when naming your new baby. At the zoo we found a family with a Christopher and a Robin, we couldn't help but think of Winnie the Pooh.
 
''Jamani hizi Hints nimezibandua sehemu!!''

Its too long lakini nimeielewa
 
Ni sehemu ya utamaduni wa Mtanzania? au? maana koroooooooooooo

Ninavyojua si utamaduni wa Watanzania wote ni baadhi ya makabila. Kwa mfano katika jamii yetu watoto hupewa majina ya bibi au babu zao(ingawa sio lazima), ili kubaki na kumbukumbu zao pale wanapofariki. Mtoto anaweza kuwa na majina mawili la asili ambalo anarithi toka kwa babu au bibi, na jina jingine ambalo wazazi watapenda. Kwa mfano mimi Katavi ni jina langu la asili ambalo ni la babu, pia ninalo jina la kikoloni ambalo ni official.
 
Ah hata haihusu kuwapa watoto majina ya babu na bibi mie na baba watoto ndio tuna panga.....nimwachie mkwe amuite mwanangu
Havintishi,kusudiyao,au kilembura kisa chake...
 
Habarini wana MMU

Kuna kasumba imezagaa sana huku uswahilini na hasa kwa wale ambao wanandoa lakini wako concervatives yaani unakuta watu wameoana na mtoto akipatikana lazima kiwekwe kikao yajadililiwe majina kwa VOTE litakalopita ndio la huyo mtoto regardless we mwenye mtoto hulipendi ama la na kuna wakwe wengine anafanya BOOKING kabisa kakitokea ka kike utamwita "NYAMWEKO" kwani ilo ni jina la marehemu bibi yangu sasa huu utaratibu ulitokea wapi???? unakuta majina yanajirudia rudia humoo wee kisa mjomba,kaka mtu, wakwe woote wabandikwe PHOTOCOPY ZA MAJINA KWA WATOTO mi hii kitu inaniudhi sana na njooni mnijuze kama labda ni mila na utamaduni wa kitanganyika......Baya zaidi ikitokea labda upande mmoja wa ukweni (kwa mama) yametoka majina kadhaa malalamiko yanaanza upande wa kiumeni oooh mwanetu kashapigwa limbwata aaaaaagh

Nawasilisha

Du hili ndo nalisikia leo
 
Du hili ndo nalisikia leo na ni kali kuliko!
 
kwanza hili ni jukwaa la habari na hoja mchanganyiko sio mmu

pili mtoto wangu kwanini apewe jina na ukoo? Sikatai wanaweza kusuggest jina lakini mimi mzazi ndo nina uamuzi wa mwisho!!!!

Nitampa mtoto jina ninalolipenda, ambalo najua maana yake na nililokubaliana na mwenzangu, maana toka ujauzito tunakua tushapanga jina gani la kumpa.

Inakuaje ukoo/familia wakimuita mwanao shida? Au wakamuita tabu? Kuna bibi mmoja alimuita mjukuu wake Jalala kisa tu hakuwa anampenda mkwewe, sasa utafurahi mwanao aitwe jalala?

Umenikumbusha binamu yangu, wazee waoijipanga na majina yao weee kwenye kumbatiza akataja jina tofauti alilokuwa analioenda.

Kuna hints amepost Rejao zinaweza kukusaidia
 
Modes wamei move BT lakini wamesema watairudisha MMU
 
Ah hata haihusu kuwapa watoto majina ya babu na bibi mie na baba watoto ndio tuna panga.....nimwachie mkwe amuite mwanangu
Havintishi,kusudiyao,au kilembura kisa chake...

Tatizo nini? Huyo mume ungempata bila ya mama yake?

Wewe utabadili tu kidogo, Mtoto akiitwa Mwanvita, wewe utaita Mwammy, akiitwa Mashavu, wewe utaita Masha, ukiambiwa Mwantunu wewe utaita Tyunu.....Kwiiisssh kazi.
 
du pole!
lakini kabla ya kulalamikia majina ya watoto wenu, je nyie majina yenu pia yana matatizo! maana wakwe ndo wazazi wenu, kama waliwapa majina mazuri na mnayafurahia leo hii sioni tatizo kwa watoto wenu.
 
fikiria labda unaitwa JOHN MKONYOKO na umezaa katoto ka kiume wakaite Mkonyoko? Alafu ili Iwe Mkonyoko j. Mkonyoko...jamani ata kama ni mzazi tutafte namez zingine mbona mengi?
 
majiha haya kuna mtoto anaitwa KITOBHOKE halaf babake anaitwa TUINGHIZE dah! Yule dada alipata shida sana shule. Yani KITOBHOKE TUINGHIZE!!??
 
majiha haya kuna mtoto anaitwa KITOBHOKE halaf babake anaitwa TUINGHIZE dah! Yule dada alipata shida sana shule. Yani KITOBHOKE TUINGHIZE!!??

Hii kali kuliko aisee...kuna dada namfahamu ye huitwa N'GWAMBA godrey ila halipendi kufa ila jina amejipa lake eti ni Rachel
 
unajua mm ninashndwa kuelewa labda niseme hata mm hii tabia ya kurithishwa majina ya watu fulan ilikuwa KIPINDI CHA NYUMA tena hata wao walikuwa hawafuati maadili ya din. Kama utakuwa unasoma BIBILIA YESU ALIKUWA NA MITUME KUMI NA MBILI wale mitume aliwakuta na MAJINA yao wa kulithishwa na katharika ila YESU aliwapa wale mitume majina mapya aliwa na maana kuwa majina yao ya kwanza yalikuwa yanaendelea na ROHO za kuridhi kutoka huko nyuma hvyo kama mzaz alivyo weza kuturuhusu kujichagulia mke/ mume hv sasa hvyo hvyo inambidi hata yeye awe na maamuz na uelewa mzur wa kuchagua jina la mtoto wake
 
Tuwe makini katika kuwapa watoto majina, kwani zipo roho zinaambatana na majina.
Kwa nini umwite mwanao jina la mtu mwingine wa zamani? atachukua jina na tabia za huyo
mtu. wazazi ndio wenye maamuzi ya mwisho kumpa mtoto jina.Na kwa ushauri wangu wazazi
tuwe na tabia ya kuwapa majina watoto wetu ya kwao wenyewe yaani tupange sisi wazazi si
kurithisha majina ya watu wengine watoto.
 
Back
Top Bottom