Akinamama wakemewe kuwapa watoto majina yao

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,734
3,373
Kuna tabia hii imejitokeza na inaelekea kuota mizizi sasa.

Kuna baadhi ya akinamama wanaamua tu kuwapa watoto majina yao unakuta mtoto anaitwa Mariamu Khadija Ally au mwengine anaitwa Juma Zainabu Mamba.

Jamani hii sio desturi yetu na kiujumla haipendezi wala haimpendezi muumba ni kinyume ya imani zetu.

Tuungane kukemea tabia hii mbovu.
 
Kuna tabia hii imejitokeza na inaelekea kuota mizizi sasa...
Hii sheria ingepitishwa kwa wanaume wanaokimbia watoto na kuwaachia mizigo wanawake.

Iwekwe sheria mwanaume akikimbia jina la pili liwe la mama.

Mtoto akikua mkubwa aambiwe tu baba yako alikukimbia hivyo nikakupa jina langu.

Ninaunga mkono hoja wanawake wote wanaowapa watoto wao majina yao. Baada ya wanaume kuwa Kuwakimbia.

Hata jirani yangu mwanae ni mkubwa tu ana jina la mama yake, na baba yake kazi ni kuvua chupi na kukimbizana na vibinti
 
Una hakika haujavuta tumbaku?
Vipi wewe umevuta?
7C280692-8838-4187-A0B1-960DE7E355AE.png
 
Kuna tabia hii imejitokeza na inaelekea kuota mizizi sasa.

Kuna baadhi ya akinamama wanaamua tu kuwapa watoto majina yao unakuta mtoto anaitwa Mariamu Khadija Ally au mwengine anaitwa Juma Zainabu Mamba...
Ndio hao baadae ukubwani ukimwita we mtoto wa mama halafu wanakasirika ee...

Majina ambayo katika utu uzima wao yanawafanya wanyoge sana..
mathalan wa kiume akioa na kupata watoto wa kiume sasa sijui majina ya baba na babu zao yatakaa wap

Mfanao huyo Juma, mtoto wake wa kiume ataitwa Havintishi Juma Zainabu dah...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom