BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
Hahaha kwani ina maana mbaya ee?
haaaha halifai kumuita mtoto. Loh......
Mie sijali aitwe jina la kiswahili au kizungu, najali maana ya jina.
Hahaha kwani ina maana mbaya ee?
haaaha halifai kumuita mtoto. Loh......
Mie sijali aitwe jina la kiswahili au kizungu, najali maana ya jina.
Kuna majina mengine ya kikabila hayana maana kama mengi ya Kizungu yalivyokuwa hayana
Sasa hapo vipi?
Heri sisi tuloitwa Tunu, Asante, Kweli, Nadra, Subira, Akili, Amani
Nitawaita wanangu majina mazuri...ila nayoyataka sitaki nipangiwe..its up to me and my wife Lol
Jina lina maana gani!? muite mwanao Tajili basi tuone kama atakuwa tajili kweli. we need the names taste good that's it!haaaha halifai kumuita mtoto. Loh......
Mie sijali aitwe jina la kiswahili au kizungu, najali maana ya jina.
Kuna majina mengine ya kikabila hayana maana kama mengi ya Kizungu yalivyokuwa hayana
Sasa hapo vipi?
Heri sisi tuloitwa Tunu, Asante, Kweli, Nadra, Subira, Akili, Amani
Na Rais Mbeki akizaa mtoto akamwita HATO itakuwaje wakuu?