Majina ya watoto pacha.

Wakuu naombeni mapendekezo yenu kuhusu majina ya watoto pacha wakike mmoja na wakiume mmoja. Likianzia na herufi A nitapenda zaidi. Kichwani nafikiria kuwapa jina la Angel na Angelo, napenda kupata majina mengine zaidi. Yawe majina ya Kikristo.

Akinyi na Akeyo

Atis na Otis
 
Hivi wakizaliwa watoto zaidi ya wawili kwa pamoja majina ya kiswahili yanakuwaje maana wawili ni kulwa na doto.
 
Mimi ningewaita:
Anandumi - wa kiume
Aikande - wa kike...

Anandumi Umshukuru Mungu
Aikande ...ASANTE MUNGU......umenikumbusha..........Apaukundi, Apansia, Anansia, Ashendumi

MENGINE NI '
shisarielyi, shileitiwo, Woindumi, Onaukiro, Ufoo, Ngarami, et al
 
Andendekisye & Atupokile
Andengulile & Atukabile
Andengenye & Atupakisye
 
Emmanuel na emmanuela
Benard na Bernadeta
Nicole na Nicholas
Gabriel na Gabriella
Vivian na Lilian
 
Wakuu naombeni mapendekezo yenu kuhusu majina ya watoto pacha wakike mmoja na wakiume mmoja. Likianzia na herufi A nitapenda zaidi. Kichwani nafikiria kuwapa jina la Angel na Angelo, napenda kupata majina mengine zaidi. Yawe majina ya Kikristo.

My Moureen and Careen
 
Attachments

  • my two loves.jpg
    my two loves.jpg
    14.5 KB · Views: 273
Wakuu naombeni mapendekezo yenu kuhusu majina ya watoto pacha wakike mmoja na wakiume mmoja. Likianzia na herufi A nitapenda zaidi. Kichwani nafikiria kuwapa jina la Angel na Angelo, napenda kupata majina mengine zaidi. Yawe majina ya Kikristo.

Kelvin and Cleo
Nancy and Hans
Lucy and louis
 
Arthur and Alicia
 
Back
Top Bottom