Naogopa atanizalia watoto waislam

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,918
Siku chache nilipost natafuta mtu wa kunizalia. Uzi wenyewe huu: Natafuta mwanamke wa kunizalia

Basi baada ya kuona watu wengi wanaokuja wako kimaslahi nikaamua nirudi kwene list ya ma ex zangu.

Kuna huyu demu nimekuaga nae kitambo ni muislam. Ni wale hampo wapenzi lakini ukitaka kula unajilia. Ye yupo tayari kunizalia muda wowote na anajua nimeoa na sitamuoa lakini hana shida ilimradi nitunze watoto.

Shida yangu tuko dini tofauti naogopa wanangu atawalea kimaadili ya kiislam au kuwafanya waislam kama tujuavyo hawa wenzetu wanavojua kumuingia mtu kichwani.

Aisee nina hofu sana ingawa napenda nizae nae. Kwenye ukoo wetu hamna muislam hata mmoja.
Mi sio mbaguzi lakini sitaki kuleta mgawanyiko kwene familia yangu au kuingiza kitu ambacho kina tamaduni, na imanI tofauti kwene ukoo wetu.

Tukumbuke mtoto hulelewa na mama zaidi. YaanI mama atachomlisha mwanao kichwani ndio anakua nacho.

Nifanyaje?
 
Siku chache nilipost natafuta mtu wa kunizalia

Uzi wenyewe huu

Natafuta mwanamke wa kunizalia

Basi baada yakuona watu wengi wanaokuja wako kimaslahi nikaamua nirudi kwene list ya ma ex zangu.

Kuna huyu demu nimekuaga nae kitambo ni muislam.Ni wale hampo wapenzi lakini ukitaka kula unajilia .Ye yupo tayari kunizalia muda wowote na anajua nimeoa na sitamuoa lakini hana shida ilimradi nitunze watoto.

Shida yangu tuko dini tofauti naogopa wanangu atawalea kimaadili ya kiislam au kuwafanya waislam kama tujuavyo hawa wenzetu wanavojua kumuingia mtu kichwani.

Aisee nina hofu sana ingawa napenda nizae nae.Kwene ukoo wetu hamna muislam hata mmoja.
Mi sio mbaguzi lakini sitaki kuleta mgawanyiko kwene familia yangu au kuingiza kitu ambacho kina tamaduni, na iman tofauti kwene ukoo wetu

Tukumbuke mtoto hulelewa na mama zaidi. Yaan mama atachomlisha mwanao kichwani ndio anakua nacho
Nifanyaje??

Af Mbona huku sio jukwaa la kutuma hivi? Au nakosea
 
Wanangu wote naleaga kwa amri yangu nimestaajabu kidogo kusikia mama ndie mwenye jukumu la kulea watoto kimaadili, leo hiyo ukija home kwangu watoto wangu hujiona huru sana wakiwa na mimi baba yao hiyo imepelekea mpaka mama yao kuona nimewapa dawa kumbe ni upendo
 
Siku chache nilipost natafuta mtu wa kunizalia

Uzi wenyewe huu

Natafuta mwanamke wa kunizalia

Basi baada yakuona watu wengi wanaokuja wako kimaslahi nikaamua nirudi kwene list ya ma ex zangu.

Kuna huyu demu nimekuaga nae kitambo ni muislam.Ni wale hampo wapenzi lakini ukitaka kula unajilia .Ye yupo tayari kunizalia muda wowote na anajua nimeoa na sitamuoa lakini hana shida ilimradi nitunze watoto.

Shida yangu tuko dini tofauti naogopa wanangu atawalea kimaadili ya kiislam au kuwafanya waislam kama tujuavyo hawa wenzetu wanavojua kumuingia mtu kichwani.

Aisee nina hofu sana ingawa napenda nizae nae.Kwene ukoo wetu hamna muislam hata mmoja.
Mi sio mbaguzi lakini sitaki kuleta mgawanyiko kwene familia yangu au kuingiza kitu ambacho kina tamaduni, na iman tofauti kwene ukoo wetu

Tukumbuke mtoto hulelewa na mama zaidi. Yaan mama atachomlisha mwanao kichwani ndio anakua nacho
Nifanyaje??
Unaonekana huna exposure kijana, wewe umejichimbia huko Namanyele tembea uone watu wanavyoishi hizo dini zimeletwa tu.
 
Wanangu wote naleaga kwa amri yangu nimestaajabu kidogo kusikia mama ndie mwenye jukumu la kulea watoto kimaadili,, leo hy ukija hom kwangu watoto wangu hujiona huru sana wakiwa na mm baba yao hy imepelekea mpaka mama yao kuona nimewapa dawa kumbe ni upendo
Unawafanyaje!!
Mimi nachojua watoto humsikiliza sana mama yao kuliko baba !!
Na situation kama yangu ndio kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom