Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,666
vichunaa jamani natamani niwachum....mashallahMy Moureen and Careen
vichunaa jamani natamani niwachum....mashallahMy Moureen and Careen
Waooh so cutee........
Congrats.......
So sweetie! Mwenyezi Mungu akukuzie.. Wameweka smile kwa uso wangu, nimeshindwa kujizuia kuwachum..
donlucchese identical twins? aiseee wazuri hadi hatari kazi unayo
vichunaa jamani natamani niwachum....mashallah
aisee kaunga we ni noma!!
My Moureen and Careen
hahahaha, duh!january na february
march na april
may na june
july na august
september na october
november na december
Wakuu naombeni mapendekezo yenu kuhusu majina ya watoto pacha wakike mmoja na wakiume mmoja. Likianzia na herufi A nitapenda zaidi. Kichwani nafikiria kuwapa jina la Angel na Angelo, napenda kupata majina mengine zaidi. Yawe majina ya Kikristo.
Nina kila sababu za kuamini hawa watoto wana damu ya Kichagga....
Kabisa mkuu. Mama yao ni mmarangu