heheheheeee watoto wa chuo utawajua. enzi zile kulikuwa na kitui ch Silent Inn.....au kibongobongo Sailentini.....bila kusahau pale Vinyago
Tabata; Barakuda, shule, kwa bibi nk
Ha ha...nakikumbuka kituo cha Silent Inn, sijui ilifia wapi!!...Siku hizi pale kona ya sheli imekuwa mlimani city!!..kumbe na wewe mtoto wa chuo))
umenikuna wewe!!! sanene, chama(kwa mfojo) teh teh