Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

kwa mrombo, kibanda maziwa, kwa iddi, kwa mrefu, chekereni, tanga kona, mombasa, ngulelo, mabauda, soko mjinga, oystabay, kona ya mabauda, kona ya nairobi, florida round about, posta meru, kanada, dukambovu, chama
 
Mangumi...
Kiko Tabata, kati ya Darajani na Sanene.

Think Wisely Before Posting a Comment,.. You're being watched!
 
1. Manyanya
2. Studio
3. Popo Bawa
4. Kwa mtogore
5. Jangwani
Endeleaaa.......

Nimeipenda hii..
Naomba tuongezee na ruti kwa faida ya mizunguko

Mfano vituo route ya:
Mnazi mmoja - Gmboto
.Mnazi1
.goldstar
.darajani
.banda la ngozi
.Mtava
.tazara
.mchicha
.Karakana
.vingunguti
.
.Mombasa
.
.kituo kipya
.
.Gmboto
 
Nimeipenda hii..
Naomba tuongezee na ruti kwa faida ya mizunguko

Mfano vituo route ya:
Mnazi mmoja - Gmboto
.Mnazi1
.goldstar
.darajani
.banda la ngozi
.Mtava
.tazara
.mchicha
.Karakana
.vingunguti
.
.Mombasa
.
.kituo kipya
.
.Gmboto

. Kipawa
. Airport
. Posta
. Majumba 6
. Njia panda
. Banana
*
*
*
*
Ss unaeza endelea na 'Mombasa' n.k hadi gomz......
 
Barabara ya banana kivule..

Mwailafu, kwa mpemba, bambucha, nyamwezi, matembele ya pili, msikitini, mwembeni, SIRARI, NYANG'ANDU, kivule ccm...
 
hapo ni Kilimanjaro kuna
sadala
stend ya sanya
kia
stend ya gezaulole (ccm)
bombani
mula

hapo ni Dodoma
nzugunu
ihumwa
bahi
 
Huu uzi uliishia wapi, mbona Bagamoyo road imeshindwa kupata wachangiaji wenye akili kuhusu vituo vya daladala kutoka Makumbusho hadi Tegeta?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom