Nafasi ya Kazi ya Mwalimu

Abtali mwerevu

JF-Expert Member
May 5, 2013
637
432
Anatatafutwa mwalimu kwa ajili ya kufundisha katika 'Tuition Centre'.

Sifa

Elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea.

Kidato cha sita awe amesoma PCM na atafundisha masomo ya Physics, Mathematics na Chemistry.

Mwalimu awe mkazi wa Dar es Salaam, kwa sababu Centre ipo maeneo ya Kinondoni Manyanya/Studio, ni vizuri akitoka maeneo haya ya karibu.

Yeyote mwenye sifa hizo, asisite kuwasiliana nasi kwa WhatsApp namba: 0653 250 566 (Atumie WhatsApp pekee katika kuwasiliana nasi).

Au afike moja kwa moja kituoni kwetu, Centre inaitwa, Mwalimu Makoba Open School, inapatikana Kinondoni Mtaa wa Kambangwa, karibu na Hotel De Mag. Anayekuja kwa gari vituo vya kushuka ni Kinondoni Manyanya, Kinondoni Studio au Mwanamboka kwa anayetumia Mwendokasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom