Majina ya kazi yanafanya vijana wachukie na kudharau kazi

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,551
Majina kama kuli, nyoka, bodaboda, mzibua vyoo na mzibua mitaro hayawezi kukupa morali ya kazi. Badala yake, fani hizi tukufu zingetumia majina kama

1. Kuli (angeitwa afisa wa mizigo)

2. Nyoka (angeitwa afisa msaidizi wa uchimbaji)

3. Bodaboda (angeitwa afisa msafirishaji)

4. Mzibua vyoo na Mitaro (angeitwa afisa afya daraja la 3)

Ongeza wengine.
 
Yaani kuli aitwee afisa mizigo? Hacha mzaha mkuu, kuli atabaki kuwa kuli mkuu, maisha ni kuchagua hakuna kuli wala mzibua mitaro aliyefosiwa kufanya hizo kazi, huku kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa ni kuendekeza uzembe, napendekeza watu hao waitwe hayo majina na ikiwezekana majina hayo yaongezewe ukali zaidi mfano kuli angeitwa, firauni wa mizigo , mzibua mitaro angeitwa kikomba mavi na Bodaboda wangeitwa nyumbu wa barabarani, ili vijana waumize vichwa zaidi kiutafutaji.. Over!!
 
Ulaya makuli wanaitwaje?
 
Hahahaha
 
Sasa sikia fanya hivi tengeneza Matangazo mawili ya tofauti ya lugha
1. Hizo kazi ziwe ktika kingereza
2. Liwe kwa kiswahili km hivyo
 
Yaani kuli aitwee afisa mizigo? Hacha mzaha mkuu, kuli atabaki kuwa kuli mkuu, maisha ni kuchagua hakuna kuli wala mzibua mitaro aliyefosiwa kufanya hizo kazi, huku kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa ni kuendekeza uzembe, napendekeza watu hao waitwe hayo majina na ikiwezekana majina hayo yaongezewe ukali zaidi mfano kuli angeitwa, firauni wa mizigo , mzibua mitaro angeitwa kikomba mavi na Bodaboda wangeitwa nyumbu wa barabarani, ili vijana waumize vichwa zaidi kiutafutaji.. Over!!
 
Mzibua vyoo tunaita Topas , bobaboda wanaitwa Tigo haya ni majina ya hovyo yanayofanya watu wachukie kazi
 
Samahani mleta mada ila huu upuuzi tulishawahi kujadili humu jamvini uzi wenye maudhui kama yako upo.
 
Back
Top Bottom