Anatafutwa Mwalimu wa Tuition

Abtali mwerevu

JF-Expert Member
May 5, 2013
637
432
Anatatafutwa mwalimu kwa ajili ya kufundisha katika 'Tuition Centre'.

Sifa

1. Elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea.

2. Kidato cha sita awe amesoma PCM na atafundisha masomo ya Physics, Mathematics na Chemistry.

3. Mwalimu awe mkazi wa Dar es Salaam, kwa sababu Centre ipo maeneo ya Kinondoni Manyanya/Studio, ni vizuri akitoka maeneo haya ya karibu.

Yeyote mwenye sifa hizo, asisite kuwasiliana nasi kwa WhatsApp namba: 0653 250 566 (Atumie WhatsApp pekee katika kuwasiliana nasi). Azingatie kuandika Mahali anapotoka, mfano: Studio, Masomo aliyosoma, mfano: PCM, Umri, na ngazi ya elimu aliyonayo mfano: Kidato cha Sita.
 
Ukitaka na wa EGM utustue
 
Back
Top Bottom