Majina ya kike ya Kisukuma

kalunde...
kashinde......mtoto wa kike alietangulia miguu wakati wa kuzaliwa
nyamizi... first born msichana.........
minza........

jamani muwe mnaweka na maana yake ili kusaidia wengi.
uzuri wa jina ni maana yake.

Kashindye ni mtoto yeyote aliyetanguliza miguu kuzaliwa.

Anayemfuata Kashindye (sisi tunasema Kasindye) ni Sizya au Shija. Pia aliyewafuata Mapacha anaitwa hivyohivyo.

Baada ya Shija/Sizya anakuja Mhozya/Mhoja bila kujali wa Kike au wa kiume.
 
Ismael,
Pana wakati ndugu yake Mwandishi wa vitabu na yeye pia anaitwa katalambula aliniandikia hiki kisa ingawa nilishakisikia zamani kabla yake;

"Baba kanunua balls za ng'ombe na kuamua kuzibanika nyama choma. Akatembelewa na rafiki zake na hivyo akamwacha kijana wake akizichunga. Ghafla akiwa kwenye mazungumzo, kijana kaja mbio mbele ya wageni huku akipiga kelele ..........Baba, mat*nya ginywe gaziga................."

ha ha ha ha ------ duh - gaziga babaaaaa......
 
jina lake tuuu.....na hayo aloandika yapo usukumani!!!!!!

Kaamua kututukana tu huyo,usukumani hatuna majina kama hayo..Bali utakutana na majina kama Magufuli(Makufuli),Milyango,Madirisha,Fungameza n.k
 
Kaamua kututukana tu huyo,usukumani hatuna majina kama hayo..Bali utakutana na majina kama Magufuli(Makufuli),Milyango,Madirisha,Fungameza n.k

Pia utakuta majina ya Manumbu, Nyanda, Ndama, Mahulu, Sayi, nk.
 
Code:
Kaamua kututukana tu huyo,usukumani hatuna majina kama hayo..Bali utakutana na majina kama Magufuli(Makufuli),Milyango,Madirisha,Fungameza n.k
Code:
Nilimsikia mdada mmoja wa kisukuma anaitwa TAKONI...Sikuamini lakini huo ndo ukweli
 
Sauda, Ngolwe, Mtamba, Nyakwesi, Nyakato, Nyangoma, Wansato
 
shem mabula maana yake nini na Kabula je maana yake?

Mabula ni la kiume na Kabula ni la kike. Kama sikosei, mbula ni mvua. Kwa hiyo Mabula ni Mamvua mengi au mvua kubwa na Kabula ni kamvua kadogo (manyunyu). Ila hapa sina uhakika sana na nitahitaji msaada wa bro B.
 
Back
Top Bottom