Majina ya kike ya Kisukuma

Ngulungulu
Mwilapwa
Ntundu
Shitalati
Bagenyi.

jamani hapa tunadanganyana sasa...wasukuma wako wa aina nyingi jamani..ila kuna common names kama Minza,nkwaya,nkwimba,Ngwalu,Hollo nk ambayo mengi yapo huko Ntuzu,kuna Wadakama,Wanyamweli wote hao ni wasukuma na uzungumzaji wao uko some how tofauti..mfano mnyamweli na mnyantuzu wanawiana sana than Mdakama na the twos inakuwa vigumu kumwelewa wakati mwingine na haya majina sitoshangaa ni ya kisukuma lkn ainisha ya pande zipi mkuu...mchango tu
 
Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....

Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........

Hayo niliyoweka kwenye nyekundu hutumika hata kwa wanaume pia.
 
jamani hapa tunadanganyana sasa...wasukuma wako wa aina nyingi jamani..ila kuna common names kama Minza,nkwaya,nkwimba,Ngwalu,Hollo nk ambayo mengi yapo huko Ntuzu,kuna Wadakama,Wanyamweli wote hao ni wasukuma na uzungumzaji wao uko some how tofauti..mfano mnyamweli na mnyantuzu wanawiana sana than Mdakama na the twos inakuwa vigumu kumwelewa wakati mwingine na haya majina sitoshangaa ni ya kisukuma lkn ainisha ya pande zipi mkuu...mchango tu
JF higolya higolya higolya du higolya zigizigi
 
Dada Bahati hilo jina linaonekana kama la kiswahili ila lipo kwa sana tu huko usukumani.

mmh hapo pamenyooka kweli kweli hivi ndo jina langu eeeeh???

sawa mkuu lakini kuwepo sana huko si justification ya kuwa la kisumkuma nadhani...kama wajina sikujua wapo kibao pwani lakini si la kizaramo au kindengereko ni la kiswahili tu nadhani!! (i stand out to be corrected)
 
Niliona nembo ya "Banned" kwenye ID yake hivi karibuni. Nikajua amefungiwa kwa muda.

Yalikuwa maruweruwe yako tu....sikuwa banned wala nini. Nilikuwa nakula maisha....maisha yenyewe mafupi haya
 
Hivi mmetaja
Kwandu
Njile
Kanengo
Nchambi
Mayila
Lemi
Nsungulwa
 
kalunde...
kashinde......mtoto wa kike alietangulia miguu wakati wa kuzaliwa
nyamizi... first born msichana.........
minza........

jamani muwe mnaweka na maana yake ili kusaidia wengi.
uzuri wa jina ni maana yake.
 
Back
Top Bottom