Majina ya kike ya Kisukuma

Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....

Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
Munge, Shibughi, Nyonjiwa, Shingughu!
 
manka,
bwashee,
oh sorry nilidhani tuko kwa wachaga kumbe chapa ng'ombe!!??
i real like gege and nyanjige
 
Yasuka, Kapemba, Mtolwa, Wande, Mpagama, Kalunde, Mwiganikwa, Nshoma, Mpindi, Na mengine mengi nayapenda sana majina ya Kike ya kisukuma.
 
.....Atupele, Itika, Sekelaga,Tulinagwe,Tusajigwe..... ahhh! kumbe wasukuma lol:)

Kalunde, Kabula, Nyanjige and Milembe .
 
Waafrika tuna vitu vingi sana vizuri ambavyo vimepotezwa na tabia ya kuiga utamaduni wa kigeni. Hili la majina ni mfano halisi. Unakuta siku hizi eti Msukuma anaitwa Williams Joseph.(!!?) Yaani identity inapotea kabisa!
 
Na kabila lao - mama yaani wanyamwezi ni haya hapa (Exclusive)

Kapemba
Nyamizi
Nsembo
Kasinde
Kalunde
Masika
Nkuwo
Kalembo
Mwasi
Mantinde
Mbuwu

Mengine yakihitajika.......
 
Na kabila lao - mama yaani wanyamwezi ni haya hapa (Exclusive)

Kapemba
Nyamizi
Nsembo
Kasinde
Kalunde
Masika
Nkuwo
Kalembo
Mwasi
Mantinde
Mbuwu

Mengine yakihitajika.......

Kijana,
Mengine niliandika jana kama Mwilwa, Nyome, Nyanso, Kakuwa, (Matinde na siyo Mantinde), Nsimbo, Mwamvula, nk.

Vapanga wee Mgosya? Ndinakwandikila PM lakini selesele. Vagisye kwenuko.

...Hilo jina la nyamizi kwa kweli hunikumbusha mbali sana mwenzenu!!!

Nyamizi hata humu JF tuna dada yetu anaitwa hivyo. Ajabu ni kuwa hilo ni jina lake haswaaa.
 
utani
Kijana .. Kabula nzogho nakuwhile.
Kabula.. Nduhu nene.
Kijana kamvutia kabula kichochoroni.
Kabula...bhebheshi lakagashi,abhiyo bhatumwaga na dada.(wewe acha mwenzio nimetumwa na
dada.)
Kijana...ninagheshi kadololo duhu.(nipe kidogo)
Kijana kamaliza haja yake.
Kabula...Wapandigijaga maki lulu? u bhebhe wachafulaga abhiyo isabhuni nduhu ninageshi igana.
(Umepata nini sasa?wewe umewachafua wenzako na sabuni hamna nipe mia basi)
 
Ismael,
Pana wakati ndugu yake Mwandishi wa vitabu na yeye pia anaitwa katalambula aliniandikia hiki kisa ingawa nilishakisikia zamani kabla yake;

"Baba kanunua balls za ng'ombe na kuamua kuzibanika nyama choma. Akatembelewa na rafiki zake na hivyo akamwacha kijana wake akizichunga. Ghafla akiwa kwenye mazungumzo, kijana kaja mbio mbele ya wageni huku akipiga kelele ..........Baba, mat*nya ginywe gaziga................."
 
Kijana,
Mengine niliandika jana kama Mwilwa, Nyome, Nyanso, Kakuwa, (Matinde na siyo Mantinde), Nsimbo, Mwamvula, nk.

Vapanga wee Mgosya? Ndinakwandikila PM lakini selesele. Vagisye kwenuko.

Nyamizi hata humu JF tuna dada yetu anaitwa hivyo. Ajabu ni kuwa hilo ni jina lake haswaaa.

eee mzehe mwanyizukizyaa - ku va kakuo kukasemba makafu ( mandufo) ...nitajibu private email yako...
 
Back
Top Bottom