lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,028
kama heading yako inavosema ni kuweli "tunavuna tulichopanda"! Unakumbuka kuwa uchaguzi wa JK ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa WaTZ kuchagua rais wao wenyewe, maana Mzee Mwinyi alipachikwa tu kwa vigezo alivyovijua Mwalimu, Mkapa pia aliletwa na Mwalimu na term yake ya pili ilikuwa ni "fulfillment of constitutions' demand" hivyo JK ndiyo kuanzia ngazi ya chini 'walisuka' mpango wenyewe bila ya kuingiliwa na yeyote (Mwalimu hakuwepo na waliojitokeza 'walimalizwa').
Miaka ya historia inaendelea kusoma lakini hii minne (iliyosalia) inaweza kuligharimu taifa miaka 50-70 ya reconstruction.
Mungu ibariki Tanzania.
Miaka ya historia inaendelea kusoma lakini hii minne (iliyosalia) inaweza kuligharimu taifa miaka 50-70 ya reconstruction.
Mungu ibariki Tanzania.
Mimi nikikwangalia JK najihisi kama namwangalia mama yangu mzazi akiwa uchi........... he is an insult to say the least