Majibu ya Kikwete na BBC: Tumevuna tulichokipanda

kama heading yako inavosema ni kuweli "tunavuna tulichopanda"! Unakumbuka kuwa uchaguzi wa JK ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa WaTZ kuchagua rais wao wenyewe, maana Mzee Mwinyi alipachikwa tu kwa vigezo alivyovijua Mwalimu, Mkapa pia aliletwa na Mwalimu na term yake ya pili ilikuwa ni "fulfillment of constitutions' demand" hivyo JK ndiyo kuanzia ngazi ya chini 'walisuka' mpango wenyewe bila ya kuingiliwa na yeyote (Mwalimu hakuwepo na waliojitokeza 'walimalizwa').
Miaka ya historia inaendelea kusoma lakini hii minne (iliyosalia) inaweza kuligharimu taifa miaka 50-70 ya reconstruction.
Mungu ibariki Tanzania.
Mimi nikikwangalia JK najihisi kama namwangalia mama yangu mzazi akiwa uchi........... he is an insult to say the least
 
Na ndipo ulipokuja na msemo wa MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO!.. Haijabadilika na haitabalika kwani bado tunamlaumu JK hali tumemchagua wenyewe tukijua fahai..
Africans never learn through mistakes, kila kitu - Kazi ya Mungu..
Nakubaliana mkuu,however hatuhitaji nchi nzima iwe na wananchi wenye akili ndipo tuweze kupata ukombozi,just a few can spead the firebrush of ideas in the minds of the people!

Siyo Taifa zima la wamarekani waliokuwa wakifikiri kama Gerge Washington etc.Its a few brave men and women willing to sacrrifice themseleves for the country.

Kumbuka wapiga kura ni milioni nne tu kati ya wananchi hao zaidi ya milioni arobaini.Ina maana umuhimu wa kupiga kura bado haujajulikana na wengi.Ni ndani ya hao milioni nne wamemwona anafaa.Kazi tuliyonayo ni kubwa.Nadhani ni muda wa kufanya kazi ya kuikomboa Tanzania.Everybody with their part to play huku tukitambua kuwa si lazima iwe kweli kwamba ni miafrika yote iko hivyo.Tunatakiwa tuishinde mifarika mibaya in any means neccessary.Miafrika mibaya ni ile mifisadi inayotake advantage of many ignorant citizens.Ni mikoloni myeusi..Ndiyo maana nchi huwa inakuwa na mashujaa.Maana si wote wenye kuweza kuwa mashujaa,that is next to impossible!
 
Nakubaliana mkuu,however hatuhitaji nchi nzima iwe na wananchi wenye akili ndipo tuweze kupata ukombozi,just a few can spead the firebrush of ideas in the minds of the people!

Siyo Taifa zima la wamarekani waliokuwa wakifikiri kama Gerge Washington etc.Its a few brave men and women willing to sacrrifice themseleves for the country.

Kumbuka wapiga kura ni milioni nne tu kati ya wananchi hao zaidi ya milioni arobaini.Ina maana umuhimu wa kupiga kura badi haujulikana na wengi.Ni ndani ya hao milioni nne wamemwona anafaa.Kazi tuliyonayo ni kubwa.Nadhani ni muda wa kufanya kazi ya kuikomboa Tanzania.Everybody with their part to play huku tukitambua kuwa si lazima iwe kweli kwamba ni mifarika yote iko hivyo.Tunatakiwa tuishinde mifarika mibaya in any means neccessary.Miafrika mibaya na mifisadi inayotake advantage of many ignorant citizens.Ndiyo maana nchi huwa inakuwa na mashujaa.Maana si wote wenye kuweza kuwa mashujaa,that is next to impossible!
Duh kwa sisi Wabongo mkuu wangu hilo sidhani kama kuna watu wako tayari, utajikuta peke yako.

Nikirudi ktk WATU kusema kweli sisi kama wanavyotusema Wakenya MINENO MINGI hakuna tulijualo (waswahili).. na kama kuna mfano wa wanyama basi sisi na Fisi hatuna tofauti maana tunasubiri mizoga! katika mawindo ni kelele nyingi na kuvizia..Labda njia bora zaidi ni kujaribu kuwa sudy WATANZANIA wenyewe kisha kutumia viamsho vinavyoweza kuwashawishi hata upate zaidi ya asilimia 70 kwa sababu MAZINGIRA yaliyowekwa ktk Uchaguzi na sanduku la kura hawakiwezeshi chama wala mgombea yeyote nje ya CCM kushinda.

Kifupi mimi sioni pa kutokea ktk hali tuliyopo labda Maandamano kama ya Egypt na Malawi kwa kuanzia lakini nako sina uhakika zaidi na mikoa ya Pwani. Nimejaribu sana kufikiria njia za kuwahamasisha wananchi lakini nagundua kwamba fitna na mbegu ambayo CCM wameweza kuipandikiza vichwani mwa watu toka enzi za mwalimu hadi leo hii itakuwa vigumu sana kuwaonyesha Watanzania umuhimu wa kuchukua maamuzi magumu.

Watanzania kama alivyosema Rev. Kishoka ni kichwa cha mwendawazimu na kitakachotokea kulingana na WATU na MAZINGIRA ni machafuko ambayo hayatapangwa na mtu, chama wala taasisi yeyote isipokuwa wananchi watajichukulia jukumu mikononi na kuanza fujo, kuchinjana kama ilivyotokea mauaji ya Tegeta...Nachelea kusema miaka minne hii tutegemee lolote baya sana kutokea ikiwa JK hatapewa ushauri mzuri kuhusiana na hali ya maisha ya Watanzania - Fisi akishikwa njaa hula hata wanawe, oooh by the way nasikia ati Fisi wote wameumbwa na uume na Uke....maneno haya kweli?
 
Ha ha ha bro umenichekesha saana!At the same time ndo ukweli wenyewe huo ambao kiukweli unauma.However sidhani kama ni kweli kabisa kuwa nitajikuta all the way mwenyewe.Just a few hawawezi kukosekana wa kujitolea muhanga.Wapo mkuu,tatizo ni kujuwa wapi hao ni valid na wapi ni traitors ama whimps.Kunahitajika uangalifu kwenye ku recruit wanamapinduzi..Kama tunaongozwa kimafia unadhani solution ya moto ni maji?Kuna umuhimu kabisa wa kuanzisha kikosi cha ukombozi.I am in it all the way.
Ila kwa umakini sana.It is still possible tho.
Kutokufanya anything huku tukitegemea mabadiliko yatakuja ndiyo haswa hilo la fisi.
 
Mhhhh sijui bana maana Rostam na genge la Mafisadi ndio wanaitwa wanamapinduzi!.... tafsiri pekee ya wadanyanyika, inakua peke yako...Sisi Mifisi mkuu wangu amini maneno yangu leo maneno Jairo jairo baada yaa..na wasijui kilichotangulia.
 
Nimekaa na kutafakari upya kuhusu nchi yangu Tanzania kwa kipindi cha miaka ya Jk uongozini!

Sikupenda nilichoking'amua ... Kilinitisha kwani ni ukweli ambao kwa sasa hakuna haja ya kuukimbia tena ila kuukabili.

Nilifikiri ule uzalendo, Ule Utanzania wetu, Ule Utu na uhuru na umoja wa Taifa hili ...nilifikiri ingawa unaonekana kufifia nilifikiri Jk anaweza kuuamsha au angalau kuuchochea...Kuurudisha tena kwenye jamii yetu.

Sipendi kuona anachoifanyia Nchi yangu na sipendi zaidi kutambua kuwa ... anakolipeleka taifa halitanyanyuka tena...sipendi kuona ukweli huu lakini bado ni ukweli usiohitaji tena ushahidi wowote ...labda kama patatokea jibu la kimiujiza.

Kwani kama sio miujiza .... sioni Mtanzania mwenye ubavu wa kukabili tatizo hili kwa jibu muafaka ..jibu ambalo halipendezi ...lakini tutambue kuwa majibu hayapokelewi kwa kupendeza au kutopendeza kwake ..ila kwa kuwa ni majibu ya ukweli.

Ukweli ni kuwa Kuamaka kwa Mtanzania na viongozi wake hakuhitaji porojo wala vikao vya mezani ... YANAHITAJIKA MAUMIVU MAKUU!!

Na tumuombe Mungu wetu atukabidhi MAUUMIVU HAYO MAKUU kwa kiasi stahili, muda na MIOYO MIKUU!!
 
Arrogance, idiocy, lack of vision and focus ndio vinamsumbua huyu mkuu wa kaya. Yaani bora kungewekwa robot iwe programmed pale ikulu ingeweza kuleta maendeleo Tanzania kuliko huyu JK. Bora ha Lowassa ana dhambi zake lakini at least ana guts za ku-make big decisions
 
Tunaweza kuweka robot kama katiba ikiwa ndo controller ama programmer.Lazima kuwe na pa kuanzia.Maoni yangu tuanze na katiba.Na nilishasema hapo nyuma kuwa katiba inatakiwa iwe inawawajibisha viongozi wetu.Katiba ndo mwongozo.Sasa hivi tulitakiwa tuseme Mh Rais kutokana na vifungu so and so vya katiba yetu,wewe hutufai tena na tunakuwajubisha kwa kuktaka ujiuzulu kama.Hiyo ndo solution na si dua za kuku na maneno matupu.
 
hatujavuna tulichopanda. bali tumevuna tusichopanda. jamaa anajua hana legitimacy ya waTz. no wonder hana uchungu nao...bali kula vyao kisha aishie zake...na immunities kibao alizo nazo kikatiba!
 
Duh!, lame duck nothing to loose. Yaani hii ni ishara tosha kuwa huyu jamaa atatupotezea miaka mingine minne ya maisha yetu kundelea kukaa kwenye nchi isiyokuwa na uongozi zaidi ya wachumia tumbo. Yaani majibu yake kwa mwandishi wa BBC Mutasa ni bora tu angekataa mahojiano. He's ARROGANT, LOW, ANGRY, UNPRESIDENTIAL, ELICIT, EMPTY, thats how can I explain the interview response from the man holding the presidential office in a country of 40m people with 50 years of Independence.

Msikilize hapa kwenye link hii kuanzia Dakika ya 17 kama huna muda wa kusikiliza mjadala wote. BBC Swahili - Habari - Umeme Tanzania bado kitendawili
 
Niliwauliza kwenye thread moja iliyomhusu huyu mtu mkakausha,kwani udsm alisoma nini,usikute tunamlaumu bure kumbe IQ yake ni ndogo sana kuweza kushughulikia masuala mazito ya ikulu.huyu tunae hadi kieleweke.
 
Basically, he does not care about the fate of his people, his nation...Just like Marie Antoinnettem he has just declared "let them eat cakes"!
 
Ukisikiliza yale mahojiano unaishia kusema kweli kijana wa bongo kachoka kachakaa! Tatizo letu sisi wabongo ni watu wa matukio. Baada ya siku mbili hili tukio la BBC halitakuwepo! Lakini ni huyuhuyu alisema vibinti vya kike vinavyobakwa na kupewa mimba ni kiherehere chao. Sio huyu alisema hajui kwa nini watanzania ni masikini! Sio huyu aliyesema asilaumiwe kwa matatizo ya watanzania kwa sababu aliyakuta toka kwa mzee mkapa ambaye aliyakuta kutoka kwa mzee mwinyi ambaye aliyakuta toka kwa mzee nyerere! Nani alisema mramba ni panga lisilochakaa akijua serikali yake inapoteza pesa za walipa kodi kuendesha kesi za mapanga. Nani aliingia madarakani akasema anawajua wazungu wa unga lakini anawapa muda wajirekebishe kabla hajawataja! Nani aliwasamehe wezi wa EPA eti kwa kurudisha tu hela walizokwapua. Nani alisema haijui Dowans? Sitashangaa akisema hajui Jairo! Unajua kuna wakati nilikaa na kutafakari kama JK ni mzima wa afya mentally. Hizi issue za kuangukaanguka huwezi kuzitenganisha na mental health! Tumekuwa tunamuona JK kama Rais na si Rais kama JK. Hivi hakuna mahali ambapo wananchi tunaweza kudai ufanyike uchunguzi huru wa afya ya Rais wetu? Maisha yetu yako mashakani! Kama Rais anasema hawezi kuleta mvua ili kuondoa tatizo la umeme atazipata wapi mvua za kunyweshea mazao ukizingatia 99% ya wakulima wa tanzania wanategemea mvua! Kwa mzunguko wa majira ya dunia 2014 kuna baa la njaa! Sipendi kuwazia hilo!
 
Haki ya kweli mi navuna ambacho si kukipanda kwani mi sikumpigia kura yeye na kati ya vitu vinavyo nikera ni jk.Tunahitaji mapinduzi ya haraka kuiokoa tz
 
yaani nyie ndio chanzo cha tatizo kuchangua mrembo badala ya rais! onana sasa alivyo na akili finyu
 
Back
Top Bottom