Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kiongozi Bora wa Afrika kwa mwaka 2023 katika Amani na Usalama

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,980
141,996
Rais mstaafu wa Tanzania mzee Kikwete ametunukiwa Tuzo ya Kiongozi Bora wa Africa kwa mwaka 2023 kama Kiongozi Bora wa Africa katika Amani na Usalama.

===

Screenshot 2024-03-16 142205.png

Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya Kiongozi bora wa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika kwa Mwaka 2023 (African Leadership Person of the Year) kama Kiongozi Bora wa Mwaka katika Amani na Usalama Barani Afrika.

Akiongea wakati wa hafla hiyo iliyoandaliwa na Jarida la Uongozi Afrika (ALM), na kufanyika Addis Ababa Nchini Ethiopia usiku wa kuamkia leo March 16,2024, Dkt. Kikwete ameshukuru kwa kutunukiwa tuzo hiyo na kuwasihi Waafrika wote kwenye nafasi za uongozi kutoa kipaumbele kwenye masuala kutatua changamoto zilizopo ikiwemo umasikini, changamoto ya chakula, mabadiliko ya tabianchi, magonjwa, ujinga, migogoro ya kisiasa na vita,

“Ukweli ni kwamba, ni kwa heshima kubwa ninakubali kupokea tuzo hii, naipokea sio tu kwa ajili yangu bali kwa niaba ya Waafrika wengine wengu , wawe ni Viongozi wa kisiasa, wenye ushawishi kiuchumi, Viongozi wa Dini, Wanachama wa vikosi vya usalama, Watumishi wa umma, na Wananchi wa kawaida ambao huamka kila siku na kufanya sehemu yao katika kulifanya Bara la Afrika kuwa sehemu nzuri zaidi ya kuishi”

Dkt. Kikwete ametunukiwa tuzo hiyo kufuatia mchakato uliojumuisha mapendekezo ya majina pamoja na kura zilizopigwa mtandaoni kwa wale waliopendekezwa, huku Dkt. Kikwete akiibuka na ushindi wa 60% ambapo katika hatua nyingine Mstaafu Kikwete pia amepongeza juhudi zinazofanywa na Afrika katika kupiga hatua kimaendeleo hususani mapinduzi makubwa katika kuboresha elimu.

Watanzania walioshinda tuzo hizo ni wawili ambao ni Dkt. Kikwete pamoja na Jesca Nkwabi ambaye yeye ametunukiwa tuzo ya Kiongozi bora wa mwaka kwenye kundi la Vijana wanaofanya vizuri Barani Afrika.

Source: Ayo TV
 
Yaan ni kiongoz bora wa Africa mwaka 2023 wakati alistaafu mwaka 2015.Ni kiongoz wa nn? Africa yangu mbona usanii ni mwingi sana:Au ni kiongoz wa remote msoga?
 
Wamekosa kazi
 
Mbowe amuombe radhi haraka sana jk!
 
Heri yake
Lakini amani ya Tanzania imejengwa kwenye misingi ya HOFU inayorithishwa kutoka kwa Mzazi kwenda kwa Mtoto kupitia DNA
 
Mdahalo kwa kidhungu vipi ? Baba Odinga
 
Back
Top Bottom