Inawezekana kabisa, ila kuhusu walinzi, pale hakunakitu kazi yao ni kugawa na kupokea cards za magari tu.
kingine hao walinzi sijui kama wanajua kama kweli nini wanalinda magetini kwani nakumbuka siku moja nimekwenda kumuona mgonjwa wangu kipindi hicho ndo walikuwa wameanza kazi walikuwa wanawazuia hata madaktari waliokuwa hawana vitambulisho magetini .......nakumbuka dactari mmoja akawa anawatukana akampigia mkurugenzi wa ulinzi muhimbili akawa anamuuliza sasa hawa ndugu mliowaweka hapa kama sina kitambulisho nirudi nyumbani kwa nini kabla ya kuwakabidhi hii kazi wasifanye na wenyeji??????????????
Wabongo bwana! wameshawahukumu wahasibu masikini ya Mungu! Ndo maana nchi haiendelei kila kitu tunafanya kwa hisia tu bila evidence yoyote, ovyo kweli. As is kuwepo kwa pesa ni some sort of Top Secret.
Kazi yao nyingine ni kuwasaidia marafiki zao kuomba lift kwenye magari
Wizi huo umetokea leo asubuhi ambapo mlinzi kauwawa na nesi mmoja kajeruhiwa katika paja alikuwa akipita kandokando ya Benki ya NMB wizi haukutokea Hospitali umetokea Benki!
Hawakuiiba hospitali wameiba pesa,hospitali ipo pale pale!!Ina maana majambazi huwa hawaugui???? lete source.