Maisha yamenishinda!!

This topic realy touchd my heart. usikate tamaa.mbona unapata good salary.kuna wa2 wanalipwa chini saana makazini.Try to do survey n c.pangilia matumizi yako.tafuta mbinu za kuzalisha pesa yako na cyo kuiweka ndani 2...ucwaze saana,utapata stress..wish u the best.Mungu atakujaalia wepec ishallah.
 
Hiyo shs 60,000 ya chakula kazini ningeipiga panga. Asubuhi kabla ya kwenda kazini unashindilia msosi wa kutosha. Nilikuwa nafanya hivyo nilipoanza kazi. Ikifika wakati wa lunch kazini, kama kuna net ofisini jaribu kubrowse other ways to make money or ku-improve elimu. Wazungu wajanja. Wakienda kazini wanabeba na msosi kabisa. Watanzania tujifunze hili.

Mkuu usitishike na magari unayoyaona barabarani. Mengine ni ya mikopo. Wengine wameyapata kwa njia za rushwa. Mengine ni ya ndugu zao. Mengine ni ya wizi. Na yote yataachwa hapa hapa duniani. Epuka vishawishi. Fanya kazi kwa bidii na tafuta njia nyingine za kujiongezea kipato. Kama elimu yako ni ndogo, fikiria kujiendeleza zaidi kielimu. Bado elimu ni msingi wa maisha.

Waeleze ndugu, jamaa na marafiki zako hali yako halisi ya kipesa ili nao wajue kuwa hali sio nzuri. Usione aibu. Hii itasaidia sio tuu kupunguza utegemezi wao kwako, but wanaweza kukupa ideas mbalimbali za kuongeza kipatao au connections. Sidhani kurudi kijijini kutaisadia. Ndio inaweza kuwa ni short term solution, but think about the future of your child as well.

Usikate tamaa na maisha. Pia don't bother with unhelpful comments zao wadau hapa. Ni watu wengi sana wako kwenye hali yako. Kama walivyosema wengine hapo juu, wapo ambao wana kipato cha chini zaidi yako.

Sawa jaribu kupunguza matumizi but this will be a short solution b'se gharama za maisha zinapanda kila siku. The viable solution ni kuribu kutafuta njia za ku-maximise your income. Ongea na watu unawajua. Tafuta connections. Kama huna network, then jaribu kutengeneza network ya watu ambao wanaweza kukupa ushauri mzuri.

Ikishindikana kabisa ongea na bosi wako kazini na mweleze ukweli. Kama ni mtu anayeelewa mambo, who knows anaweza akakuunganishia kwenye deals za kikazi humo humo kazini kama kwenda kwenye seminars, conferences au vi-tripu vya hapa na pale. Waajiriwa wengi ndio wanafanya hivyo. Au anaweza kumjua mtu mwingine anayeweza kukusaidia. Nimeshashuhudia watu wengi wakifanya hivyo.

Ushauri wangu. Usishawishike ujihusishe kwenye vitendo vya rushwa. Siwezi kukusaidia kipesa or kikazi lakini kama elimu yako ni ya degree level na unataka kujiendeleza kielimu unaweza kuni-PM tukasaidiana kutafuta njia za kusoma zaidi.

I wish you all the best mkuu.
 
Pole sana.. Ushauri huu ni mzuri sana... Ila hapo kwenye kununua plot Gongolamboto, Sio mzuri.. Maana ukinunua kiwanja kimoja, unapewa na BOMU moja.

Usirudi kijijini! Tubanane humuhumu! Ila Toa zaka na sadaka kwenye huo mshahara na MUNGU atakujaza..

Hapo umenena, maana yeye anasema kuwa njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha
 
nasie tunaofanya kazi kwa wahindi tusemeje? mshahara lk 3, ukikatwa unabakiwa na laki 2 na upupu!! hapo ndio unapoimbia wimbo wa taifa bila bendera kupandishwa!!
 
Wakuu Maisha ya Mjini yamenishinda, yaani nikiangalia kipato changu na majukumu niliyonayo naona siwezi kabisa.

Maisha kama haya naona afadhali yale maisha niliishi kwa wazazi wangu enzi za mwalimu pamoja na kuwa babangu alikuwa mkulima lakini tulienda shule na tuliishi maisha mazuri.

Mimi sijui wenzangu mnaishije? mnapata haya machungu nayoyaona mimi? nasimama asubuhi kituoni kwenda kazini naona magari yanapita tu huku mmefunga vioo hivi kweli mna matatizo kama yangu kweli? Hivi nyie pesa mnazipata wapi? mbona najiona mpweke katika nchi yangu hii?

Wakuu siyo siri natafakari kama mambo yakizidi kuwa magumu basi nitafute nauli nirudi kwetu angalau huko nitakuwa na uhakika wa kusogeza siku.

Kipato changu wakuu ni Tshs 542,000/- Nina Mke na mtoto mmoja (5), nimepanga nyumba viwili na sebure - Mambo yamegoma kabisa.

Nipeni ushauri nateketea mtanzania mwenzenu.
achana nayo kama vp
 
Inabidi pia mke wako naye atafute shughuli ya kufanya msaidiane, maisha ya sasa familia haiwezi kutegemea kipato cha mmoja.

Hivi maisha yamependa sana naona hata wenye magari wengi wanatafuta wa kumuuzia

maana hata mafuta na spare ziko juu sana

Si kweli ... mafuta na spea zipo chini kuliko kipindi chochote cha karibuni. Ingawa ni kweli, gharama ya maisha imepata sana ...
 
Pole mkuu,watu wengi dar hasa wafanyakazi wameishayachoka maisha kilichobakia ni ubishi tu wa kubakia mjini ,hayo magari usiyaogope mengi ni mikopo na wakati mwingine hayana mafuta,cha muhimu kwako ni kujaribu kuongeza kipato hata kama ni 30,000 per week.
 
Huyu jamaa amenishangaza sana, yani mshahara was 524,000Tsh/ bado analalama plus 300,000 ya wife kwa mwez uhakika was 824,000/Tsh. Hapa hesabu inahitajika kwanza matumizi ya home per day yapunguze kutoka 8000 mpaka 5000-6000
Pili nauli pamoja na msosi wa mchana mkiwa kazin wewe na mke wako punguza kutoka 10000 mpaka 6000 kwa mahesabu ya haraka kwa mwez uta save 210,000 kwa mwaka 2.5M pia jaribu kupunguza matumiz mengne na kugundua maeneo/masoko ya kununulia vitu bei nafuu hasa vyakula. Mwisho usiwe mvivu wa kufikiri
 
Huyu jamaa amenishangaza sana, yani mshahara was 524,000Tsh/ bado analalama plus 300,000 ya wife kwa mwez uhakika was 824,000/Tsh. Hapa hesabu inahitajika kwanza matumizi ya home per day yapunguze kutoka 8000 mpaka 5000-6000
Pili nauli pamoja na msosi wa mchana mkiwa kazin wewe na mke wako punguza kutoka 10000 mpaka 6000 kwa mahesabu ya haraka kwa mwez uta save 210,000 kwa mwaka 2.5M pia jaribu kupunguza matumiz mengne na kugundua maeneo/masoko ya kununulia vitu bei nafuu hasa vyakula. Mwisho usiwe mvivu wa kufikiri
halafu ilikuwa2011
 
kujeni uku mikoani msikae mjini , uko mjin pango la miezi 2 uku mikoani ni pango la mwaka mzima, pesa zingine unaziokoa nakufanyia maendereo, usije kuwatuhumu watu wanakurudisha nyuma kimaenderea kila Siku folen unajitesa kuamuka asubuhi na mapema kuwa job kipato akitosherezi mahitaji yako
 
haina sababu ya kulialia kijana,kuna watu ma aluatan usiwaone na na magari ya mkopo yakakurusha roho wanakipato cha chini yako,then kwa mshahara huo ni mkubwa at leadt u can do somethng,kwa hesabu ya haraka haraka,laki na nusu ukinunua chakula kwa jumla.mf sukar kg 20.unga na mafuta na mchele utatumia zaidi ya miezi miwili,so pesa inakuw inatumika kwa matumizi mengine,then mkeo aongeze kipato na yeye ckuiz hakuna mwanamke anapenda kuw golikipa ajishughulishewalau ingize kipato japo kidg,mbn utavuka tu,wasi wasi ndo akili
 
mkuu maisha magum but kaza kaka pia c lazima sana urud bush lakin kama kuna mtu unaemuamin yuko bush ni vyema nmkweka ubia atafute hata mashamba mlime atleast unaweza punguza ugumu wa maisha,ila we komaa tu mjini huku kaka kwan tuko wengi tunaokomaa,na wengi tupo tunalisongesha kwakuwa tunawaona wengine wanasonga mkuu..daima mbele
 
Back
Top Bottom