Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
Wanawake inabidi wakubali moja.
A.Kuendelea kutolewa mahari na kuwa subservient kwa wanaume (wao wanaolewa, wanatolewa mahari, hawawezi kuwa sawa na wanaume).
B.Kukataa mahari na kudai usawa na wanaume.
Hawawezi kutaka vyote viwili kwa pamoja, la sivyo mahari itolewe na pande zote, kuwe na exchange of gifts tu.
Kwa nini muwafunge wanawake katika options hizo mbili wakati kuna option ya tatu ambayo wanaweza kwenda nayo?
What about wanawake kuendelea kudai mahari ambayo si mahari ya mali.
Ukidaiwa shairi au insha utasema mwanamke aendelee kuwa subservient kwa mwanamme kisa kaandikiwa shairi?