Mahakama Arusha yaizuia CDM kuwazomea madiwani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa Arusha imetoa uamuzi mdogo wa zuio la muda dhidi ya mikutano ya Chadema kuwasema hadharani madiwani watano wa chama hicho waliotimuliwa.

Mahakama hiyo pia imesema hata kama Chadema itapata kibali cha kuhutubia kihakikishe suala la madiwani hao halizungumzwi wala kuzomewa, kuwatolea lugha chafu na za vitisho wakati huu ambao hapo kesi ya msingi imefunguliwa.

Source: HabariLeo
It could be unconstitutional.Unless freedom of speech hakuna hapo bongo.Mahakimu kweli inawezekana nao wa elimu ya kata hao.

Wanasheria watueleze.Tuna mmiss Kuhani hapa.

BTW Mbona swindler yule wa ponzi scheme Ben Mardoff alikuwa na kesi lakini bado alizungumziwa na kuzomewa?Something is missing hapa,ama ni mimi?

Ama kweli wewe kichwa cha masaburi, hakimu atoe tamko la umeme? si mpelekee kesi.

kesi ya richimondi unaibiwa mahakama inaamuwa umlipe mwizi weme niyule zombe jambazi aliye tetewa na mahakama umeamuwa ulipe fadhira tungekuwa na mahakama zahaki ungekuwa ulishafungwa

mahakama imekitaka chama cha democrasia na maendeleo chadema kutowaongelea madiwani 5 walio wafukuza mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa. mahakama ipo kwa ajili ya kutenda haki na kusimamia sheria nchini.

wewe mwenyewe CUF, kwanini m.a.t.a.k.o yakuwashe hivyo.

Nimeamini Valeur Brandy, mbaya sana ikigusa ubongo.
Mtu yoyote hakiwa Agaisnt na CDM basi ni CCM, kwangu mimi CCM na CDM wote ni takataka, huyu Nape na Mbowe wote ni wahuni tu wacheza disco Billicanas

Bila shaka hapa pia ni "Shule za kata at work"

Nimeamini Valeur Brandy, mbaya sana ikigusa ubongo.

Mtu yoyote hakiwa Agaisnt na CDM basi ni CCM, kwangu mimi CCM na CDM wote ni takataka, huyu Nape na Mbowe wote ni wahuni tu wacheza disco Billicanas

wemwenyewe pia mhuni na hunalolote.

Back
Top Bottom