Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,976
- 32,380
Shule za kata at workza mbayu wayu changanya na za kwako.. nielewe kwanza sio unatafsiri kila kitu kama kilivyo ...angalia kuna nini kwanza ndani ya post utaja ingia chaka
Shule za kata at workza mbayu wayu changanya na za kwako.. nielewe kwanza sio unatafsiri kila kitu kama kilivyo ...angalia kuna nini kwanza ndani ya post utaja ingia chaka
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa Arusha imetoa uamuzi mdogo wa zuio la muda dhidi ya mikutano ya Chadema kuwasema hadharani madiwani watano wa chama hicho waliotimuliwa.
Mahakama hiyo pia imesema hata kama Chadema itapata kibali cha kuhutubia kihakikishe suala la madiwani hao halizungumzwi wala kuzomewa, kuwatolea lugha chafu na za vitisho wakati huu ambao hapo kesi ya msingi imefunguliwa.
Source: HabariLeo
sometimes unajiuliza hawa maakimu wengine ni nani hivi anayewapa uhakimu kwa maana wamefikia mahala mpaka ku control speech.
nani amekupa mamlaka ya kuzuia watu wasitoe maoni yao kwa kuwaambia nini wasizungumze na nini wazungumze ktk kutoa maoni yao ??
hakimu/polisi siku zote inapojiingiza ktk kuwaamulia watu kitu cha kuzungumza au kuwakataza watu kwa kusema maoni haya ni mabaya au haya ni mazuri inajiingiza ktk kazi ambayo hiko juu ya uwezo wao kwani maoni hayo yanaweza kuwa mabaya au mazuri kutegemea mtu na mtu hii ni sawa mahakama kutuchagulia mwanamke mwenye sura ya aina gani ni mzuri au mbaya??
Now days watu wamekuwa kama wapuuzi vile, siju hata hatuwezi kutumia akili zetu walau kwa sekunde moja kusoma hoja iliyopo kabla ya kuchangia,Practically speaking, utazuiaje watu kuzomea? Polisi watapita kila mahala wanapopita hawa madiwani ili wasizomewe? Kuzomea ni njia mojawapo ya mtu/watu kuonesha kutofurahishwa au kutokubaliana na jambo fulani kama ambavyo watu hushangilia wanapofurahia jambo. Sasa, ni kifungu gani katiba katiba yetu kinachokataza kuzomea au kushangilia for that matter? Huku si kuvunja haki za binadamu kwamba hawatakiwi kujieleza (kivitendo) kutokubaliana na mienendo ya madiwani hao?
Huyu hakimu naona anataka kudhalilisha huu mhimili wa dola!
Ajabu kweli' hivi kama mume akimtosa mke wake mahakama inaweza kumlazimisha kubaki naye? Ili iweje? NYAMBAFU!
Kauli kama hizi zinaonyesha ni jinsi gani watu bado hawajakomaa kisasa na bado wana fikra za ki Mrema na Cheyo kuwa chama ni mali ya watu fulani.Wanataka talaka ichanwe mbele ya shehe mme bado wanampenda.
<br />Kwani kuzomewa lazima iwe kwenye mikutano ya cdm?
Mkuu Kiwi kazi ya mahakama ni kuhakikisha haki inatendeka, sheria ya mahakama inaruhusu kuzuia jambo katika chama kama kuna madai ya msingi ya kufanya hivyo. hujawahi sikia marangapi chama fulani kimezuiwa na mahakama kufanya uchaguzi hadi kesi ya msingi iishe? waweza pia kuzuia uchaguzi mkuu uzuiwe au hata rais astangazwe nk.Inashangaza sana kuona nchi yetu inaendeshwa kienyeji. Hivi hata mahakama inafuata kanuni kweli za utendaji wa kazi zake? Katiba inaipa mahakama mamlaka ya kukiambia chama fulani kinaweza kufanya nini katika vikao vyake? Kuna kifungu chochote cha sheria kilichotumika kuwakataza Chadema kuwataja hadharani hao waliokuwa madiwani wake wa Arusha ambao kwa sasa Chadema imewafukuza uanachama? Pili, hivi mtu akifukuzwa uanachama anawezaje kuendelea kuwa diwani wakati Tanzania haina wagombea na viongozi ambao hawafungamani na chama chochote (independent)? Hili pia linanitatiza ninapoona Shibuda bado ni mbunge wakati alishatoka Chadema. Au ile sheria ya kukataa independent candidates ni changa la macho tu wakati wa uchaguzi, ila mtu akishachaguliwa anao uhuru wa kuwa mbunge independent? Je JK akifukuzwa uanachama wa ccm ataendelea kuwa Rais? Ninavyoelewa mimi ni kwamba mahakama haiwezi kisheria kuingilia chama chochote kile kama kimeamua kufanya jambo fulani lenye tija kwenye chama chake. Chama cha magamba kilipoamua kuwavua magamba watu wake mahakama zilikaa kimya, au ndio kusema mahakama zote Tanzania ni sehemu ya chama cha magamba? Ziko chini ya idara ya Nape? Chombo kinachotakiwa kulinda na kutetea haki za raia kikishawekwa mifukoni na watu wachache maana yake ni kusema nchi haina sheria! Wataalamu wa maswala ya Katiba hebu tujuzeni kuhusu hili.
Kama kuzomea wamezuia basi mimi nitakuwa nawacheka kila niwaonapo.Mahakama za Tanzania zilipoteza uhalali wake tangu siku ile walipofuta hukumu ya Jaji Rugakingira ya mgombea binafsi kwa kumfurahisha KIkwete na CCM,jambo hilo Jaji Samata amelisemea sana hakuridhika nalo
Mahakama za Tanzania zinadharauliwa na wananchi wote,wameendekeza rushwa,hawana tena moral authority ya kuwa chombo cha kuaminika ndio maana wanajichukulia sheria mkononi baada ya kuona Mahakama ni chaka la wapinga haki
Mimi nikienda Arusha nikiwaona popote nitawazomea tuu
Punguza Rubisi zitakumaliza, sio kuandariwa ni kuandaliwakwamaana hiyo wameandariwa polisi kukamata wanao zomea
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa Arusha imetoa uamuzi mdogo wa zuio la muda dhidi ya mikutano ya Chadema kuwasema hadharani madiwani watano wa chama hicho waliotimuliwa.
Mahakama hiyo pia imesema hata kama Chadema itapata kibali cha kuhutubia kihakikishe suala la madiwani hao halizungumzwi wala kuzomewa, kuwatolea lugha chafu na za vitisho wakati huu ambao hapo kesi ya msingi imefunguliwa.
Source: HabariLeo
Mods mbona mnafuta posts zinazoiponda CDM acheni hizo mbona kuna thread kibao tu kwenye majukwaa tofauti tofauti Pro-CDM wanaponda lakini posts zao zipo tu
Tena hawa viumbe hawaoni utoroshaj wa wanyamapori wala madudu menghne mengi tu.Hapo mdau umenena, hivi vyombo vyetu vya serikali vinaweza kuona sana mikutano ya chadema ila si matatizo yanayotukabili. intelejinsia ya polisi haina uwezo wa kuona wachakachuaji wa mafuta, kitu kinachopelekea mafuta kupandishwa bei wala hilo hawalioni, mahakama hazioni hawa mafisadi ambao wamelitafuna taifa vibaya na ushahidi upo ila wana uwezo wa kujua ni diwani gani kazungumziwa kwenye mkutano wa chadema. huu ni uzuzu wa hali ya juu!!!!!
Ushauri wa bure Malaria Sugu kaanzisha blog yake kwa hiyo pro-magamba wote mnaweza kwenda huko kujadili nani kati ya RA na Chenge kwenye kujivua gamba kamzidi Nape ujanja ha ha ha..Mods mbona mnafuta posts zinazoiponda CDM acheni hizo mbona kuna thread kibao tu kwenye majukwaa tofauti tofauti Pro-CDM wanaponda lakini posts zao zipo tu
Usiwe na wasiwasi Nape keshaziona kabla Mods hajazifuta posho utapata kama kawaida.Mods mbona mnafuta posts zinazoiponda CDM acheni hizo mbona kuna thread kibao tu kwenye majukwaa tofauti tofauti Pro-CDM wanaponda lakini posts zao zipo tu
Wewe kweli debe tupu kabisa unadhani JF ni ya CDM Akili Masuburi kabisaUshauri wa bure Malaria Sugu kaanzisha blog yake kwa hiyo pro-magamba wote mnaweza kwenda huko kujadili nani kati ya RA na Chenge kwenye kujivua gamba kamzidi Nape ujanja ha ha ha..
Nimeamini Valeur Brandy, mbaya sana ikigusa ubongo.Usiwe na wasiwasi Nape keshaziona kabla Mods hajazifuta posho utapata kama kawaida.
Kwa hiyo shangazi yako anapenda kulia basi mwambie takuja leo usiku kumnyamazishaAcha kulia-lia kama shangazi, toa issue za msingi au unalipwa kupost hizo post za kuponda?
Kwa hiyo shangazi yako anapenda kulia basi mwambie takuja leo usiku kumnyamazisha