Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa Arusha imetoa uamuzi mdogo wa zuio la muda dhidi ya mikutano ya Chadema kuwasema hadharani madiwani watano wa chama hicho waliotimuliwa.
Mahakama hiyo pia imesema hata kama Chadema itapata kibali cha kuhutubia kihakikishe suala la madiwani hao halizungumzwi wala kuzomewa, kuwatolea lugha chafu na za vitisho wakati huu ambao hapo kesi ya msingi imefunguliwa.
Source: HabariLeo
Wana JF,
Nilipenda tu kuijurisha mahaka kuwa au huyo mwanasheria aliye iomba mahakama ito Tamko hilo sijui ndio kukiuka kipengele cha katiba kile kinacho husu Uhuru wa kila Raia au.?
Maana ukifanya madudu tutakuzomea ukifanya mema tutakupigia vigeregere na vifijo na sio lazima iwe kwenye muhadhara au kanisani hata huko njiani ukipita tena huko ndipo wanasiasa wanapenda ukipita njiani ukisafishwa na watu kwa vigereger unafurahi sana iweje leo umefanya upuuzi unasema au unaiomba mahaka ikuwekee kifua khaaaaa wewe achani upuuzi huo sasa naona munataka kutumia mahakama vibaya sasa mwaingiza mahakama kwenye hizo siasa zenu za ajabu.
Mahakama imetoa uamuzi huo nadhani mwanasheria wake aka withdraw hiyo order kwani tulipashwa habari awali kuwa malla alijaribu kuwahonga police kitu kidogo ili ule mkutano wa chadema kule arusha usifanyike sasa hapo hamuoni huyo (walalamikaji) wa/analalamika ni mnafki kama yeye alitaka afanyiwe haki mbona alikuwa anatumia police kutokutoa kibali wenzake wapate haki ya kuhutubia wananchi its ridicules kwa mwana sheria na Mahakama kutumika hivyo kama walipenda kuamua hilo sidhani kama hawakufikishiwa hizo tuhuma za hao madiwani walio taka kuhonga police wazuie mkutano inamaana wana wakanganya mawakili na mahakama