TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,787
- 2,078
Acheni mara moja matumizi ya ma-id mengi. Kwa nini mnajificha gizani...!
Waache na nani? Kama id nyingi hazivunji sheria halali za JF huna jipya kalale
Acheni mara moja matumizi ya ma-id mengi. Kwa nini mnajificha gizani...!
kwangu kwako itakuwa mara ya kwanza kwa hiyo jipya, kama vile kukata seal.litakuaje jpya hal lishpitwa?lolz
Mapovu yashaanza kuwatoka. Na bado!Waache na nani? Kama id nyingi hazivunji sheria halali za JF huna jipya kalale
......hivi hawa ndo wale wanaosemekana kuruka na ungo usiku!!?:lol:Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia.
Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja na aina ya mchango wanaotaka kutoa.
"Magwiji" bwana!
Kigezo kimoja ni "kumiliki" jukwaa na kuwafukuza wageni. Ukiulizwa unadai sisi tunalipia na huyu halipii....yaaani kama vile kiroho kinauma.Naomba na mie ugwiji (hivi kuna faida gani za kuwa gwiji?)
kwangu kwako itakuwa mara ya kwanza kwa hiyo jipya, kama vile kukata seal.
Kigezo kimoja ni "kumiliki" jukwaa na kuwafukuza wageni. Ukiulizwa unadai sisi tunalipia na huyu halipii....yaaani kama vile kiroho kinauma.
Halaf matra nying wanafanya kila njia kuhakikisha mgeni anapata ban ili wabaki peke yao.
Ni watu ambao kama haupo kwenye "mtandao"
wao basi unakuwa kama adui kwao.
VIBAYA VYA WENZAO VIZURI VYAO.
Ngoja nije hapo O-block chemical and processing, ndo utajua kama nimenyegeka.sio bure! Utakua umenyegeka.
Umeonaeehkwa mara ya kwanz umeongea yeny akili! Hata mm hilo la upendelei nimeona kwa membaz wa zaman. Hata akikutukana kama vile hawajaona. Tukana ww huyo memba wa zaman uone utavoshambuliwa.
Mapovu yashaanza kuwatoka. Na bado!
wewe ni nani?magwiji watajwe tu trace id zao nyingine.
Nakukubali sana "Lizzy wangu". Nipo mbioni kuleta posa, hebu nipe taratibu zake zikoje.
By the way, id zako nyingine ni zipi?
Mkishaaambiwa ukweli huko ndiko mnakokimbilia....eti oooh anaona wivu.Unakereketwa
nyekundu: NITAFURAHI SANA AISEE!:lol:Posa kuna mtu namsaidia kuchanga changa akifikisha kiasi alete nyumbani. . . labda nikuunganishie kwa desh desh?
Heheh. . . hiyo ni siri ya watu watatu.
Hiyo ni hoja nayo eti!Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia.
Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja na aina ya mchango wanaotaka kutoa.
"Magwiji" bwana!
N(S)itashangaa sana nikisikia "gwiji" pj ana id 10...!Hiyo ni hoja nayo eti!
Aisee!
Magwiji wanajuana kama waarabu wa pemba vilem. Mambo gwijiThough hiyo 'magwiji' siinunui nadhani ni kweli wapo watu wana ID za kuandika thread za maana na za kupost vituko na pumba. . haswa kule chiti chati.
Sababu. . .labda ili
i) wasiwaangushe/wasiwashangaze/wasihukumiwe na wanaowafahamu.
ii) Wanakua na bifu na watu wengine ila hawathubutu kuwatukana kwa ID zao zinazojulikana kwahiyo wanajificha gizani ndio warushe makombora.
iii) Wanataka kuona wale wanaomkubali watamchukulia/wangemchukulia vipi kama angekua kama ambavyo ataAct/amua kufunguka na hiyo ID mpya.