Maggid Mjengwa ana Virus?

Tunaongelea vyombo vya habari je ni sahihi Mjengwa kutoweka picha za Tamasha hili? unafahamu kinachoendelea wewe au unadhani tunauza sura hapa? wapenda haki hatuwezi kukaa kimya tukaangalia watu wakitumia pesa zao kunyanyasa wengine, Issue hapa ni kwa nini Mjengwa hajaupload hizi picha za Tamasha la Anti virus wakati hakuhitajika kupeleka mpiga picha pale uwanjani bali zipo humu humu kwenye internet? na nina uhakika anazo.

Nimejenga hoja, ukiweza pangua hoja na ulete hoja na hatuhitaji Viroja.

Nadhani kwa kufuata weledi wa uandishi wa habari alipaswa kuvuka mipaka ya ushabiki wa kisiasa na kubalance story. I hope kwa sababu ni member atakuja ajitetee mwenywe ili kubalance pia story za thread hii. Akikaa kimya inaleta maswali zaidi.
 
Yupo humu sasa hivi online na thread yake ya kumpamba Lowasa, Maggid huwa achangii thread za wengine maana yeye humu akija huwa anakuja kikazi zaidi kumpamba yule mtu aliemkusudia siku hiyo.
 
Uhasama huu unatupeleka kubaya, watanzania tushirikiane kuwasuluisha watanzania wenzetu hawa" Mh. Mbilinyi na Ndugu Ruge". Vinginevyo endapo uhasama huu utaendelea kwa mbali naona 'replica' ya matokeo mabaya kabisa kuwahi kutokea ya uhasama wa B.I.G na 2Pac wa Marekani, My Living God forbid.
Sio Ruge VS Sugu...sema Ruge vs Wasanii wenye akili na waliojitambua. Huyu sugu ni mmoja wa kiongozi wa wasanii hawa.
Ila mm binafsi naona tunapoelekea ni kuzuri...soon wasanii wetu wataanza kufaidika na sanaa yao. Imagine Professa Jay pamoja na umaarufu wote ndio kamalizia kujenga nyumba ya kuishi miezi kama minne iliyopita. Nyumba moja anajenga miaka nane..wakati nchi ambazo wasanii wanajua haki zao...One Album inaweza kumfanya msanii akaishi vizuri kwa miaka kadhaa ikiwemo kujenga nyumba nzuri, gari zuri, maisha mazuri kwa ujumla . Bahati mbaya wengi wa wasanii wa bongo upeo mdogo sana halafu wameshazoea kibongobongo..kidogo tu kesharidhika! Wasanii fungukeni!!!!!
 
Wote, Michuzi na Mjengwa wametoa picha za matamasha yote mawili. Isitoshe, saa zingine kwenye mambo ya blogs ni nani anayetuma habari ya matukio. Mjengwa yupo based in Iringa town na si ajabu hakuwepo Dar ila ni juu ya wahusika kutuma yaliojili kwenye tamasha lao.

So I think blaming Mjengwa (or Michuzi for that matter) is useless and a waste of time! I know Mjengwa personally and have always known him to be fair and honest when it comes to news reporting, never even shying from his sometimes very opinionated columns released in the press.
 
S6302667.JPG
Salaam kutoka kwa mashabiki
S6302650.JPG

S6302585.JPG

S6302673.JPG

S6302642.JPG

S6302730.JPG

S6302598.JPG
Sehmu kubwa ya Maeelfu ya watu waliojitokeza kwenye tamasha la kihistoria la Vinenga
S6302736.JPG
Wadau Mbalimbali
S6302633.JPG
Mheshimiwa Mbunge wa Mbeya Mjini- Chadema Joseph Mbilinyi ‘Sugu'(Kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na Mdau Hajji Muki na Kulia ni Mheshimiwa Mbunge wa Ubungo -CHADEMA)John Mnyika ndani ya Tamasha la Vinega Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook

Older Posts Home
 
Haaa Kumb Magidd ni hivyo tena,basi hata makala zake nimejifuta rasmi kuzisoma,maana kama yuko shirika moja na hao clouds basi maana hao clouds binafsi nimewa-delete kwa kutangaza habari za kupotosha,matusi,na kutokubalance story,na zaidi wamekuwa mno watu wa kujipendekeza kwa mafisadi tena wazi wazi,na kuwasifia basi wangelikuwa wanatumia media house yao kuelekeza yaliyo mema,kuwashauri hao mafisadi waache ufisadi na kuwa chombo huru kisichoegemea upande,sasa kama na huyu Maggid kaanza hivyo wala sihitaji kusubiri any kind of proof huyu najua ni kweli ana virus.Tushirikiane kuwatokomeza waadishi na vyombo vy habari vya aina hii kwa kutoku-tune wala kusoma makala zao!
 
Yupo humu sasa hivi online na thread yake ya kumpamba Lowasa, Maggid huwa achangii thread za wengine maana yeye humu akija huwa anakuja kikazi zaidi kumpamba yule mtu aliemkusudia siku hiyo.

Hapo kwenye rangi, una maanisha aliyemlipa sio? kwa hiyo habari zake na matukio anayoripoti ni kwa kuwa anatumika! ananunulika kifupi unataka kumaanisha kuwa sura na kalamu yake vinaonesha bei yake!!!
 
Bandiko lako linajitosheleza, labda cha kuongeza tu ni kwamba mtaji wake ni kalamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom