Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,289
- 92,370
Wakuu kama mtakuwa ni wafatiliaji wazuri jumamosi ya tarehe 26 yaani juzi kwa upande wa burudani kulikuwa na matamasha mawili Jijini Dar ambayo yalibeba hisia na mitazamo tofauti, kulikuwa na Tamasha lile la clouds fm pale Leaders club na lile la wasanii wa Nyumbani Anti virus with no Apology, lakini cha kusikitisha huyu memba mwenzetu wa JF pamoja na mwenzake Michuzi, kwenye blog zao kwa makusudi wameamuwa kuonesha picha za Tamasha la clouds peke yake!
Swali linakuja je huyu member mwenzetu anastahili kuendelea kuaminiwa kama muandishi wa habari huru au ni njaa tu inamsumbuwa, amepewa vijisenti mbuzi na kina Kusaga ili kuwanyima Watanzania habari?
Hivi inawezekana vipi Tamasha kubwa kama hili na ndilo lilibamba kwa mahudhurio lisiripotiwe kwenye blog za hawa jamaa? ndio maana nauliza au hawa ni sehemu ya hawa VIRUS?
Nimewashitaki kwenu wadau:
Sister P akikamua
Zay B jukwaani
Daz baba akifanya kweli
DJ Sox akifanya mambo yake
Mkoloi akiwa kazini
Mr Simple, Diwani wa Ticket ya CHADEMA
Mashabiki wakipagawishwa
Sugu akifanya mambo
Wasanii wa kizazi kipya waliowahi kutamba zamani waliounda kundi la Vinega wakiongozwa na Mkurugenzi wa Deiwaka Entertainment, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi Sugu (pichani juu) usiku wa kuamkia leo wamefanya onesho lililohudhuriwa na maelfu ya watu katika Viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar es Salaam. Hapo juu ni baadhi ya matukio yaliyojiri kiwanjani hapo:.
Machizi mko fiti????? Mheshimiwa Mbowe (Mwenyekti wa CHADEMA) akiwasalimia mashabiki waliohudhuria tamasha viwanjani hapo
Mashabiki wakiitia salamu ya Mbowe, Tuko bomba ile mbayaaaa
source: wajanja club blogs