Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 141
neno lako la mwisho unamaanisha nini?Tuthibitishie kama hawezi kuwamtumia
neno lako la mwisho unamaanisha nini?Tuthibitishie kama hawezi kuwamtumia
Wewe uliendika unatumiwa na nani?Thibitisha kauli yako"No Research,No right to speak"Ifuatayo ni orodha ya magazeti ya Tanzania ambayo wamiliki wake au wahariri wake au wote wamiliki na wahariri wamekuwa wakitumika kumsafisha Edward Lowassa katika mradi wake wa kutaka kwenda Ikulu 2015 kwa gharama yoyote ile. Magazeti haya yalitumiwa sana kupotosha umma kuhusu matokeo ya vikao vya NEC na Kamati Kuu ya CCM Dodoma juzi na kutoa habari na picha za kumpamba Lowassa kila mara akitumia viongozi wa dini njaa kujisafisha:
Kwa mtu yoyote makini, ukisoma magazeti ya Tanzania unaona kabisa yako upande gani. Uweledi kwenye uandishi wa habari Tanzania na kufanya kazi bila woga wala upendeleo hakuna kutokana na njaa kali ya waandishi wa habari na wengi wao kutokwenda shule.
Ndiyo maana magazeti haya mengi yalitumika kujenga hisia kuwa fisadi Lowassa ni victim wa vita ya Urais ya 2015, kumbe ukweli unabaki palepale kuwa huyu ni mtuhumiwa mkubwa wa rushwa. Lazima afukuzwe kwenye chama na kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zake.
Huyu anadhani kuwa magazeti yanatakiwa kuandika kwa mrengo fulani. Ukweli ni lazima usemwe bila kujali unamhusu nani
Mpita Njia, si sahihi kwa magazeti kumshambulia mtu tu kila mara au kutumika kumsafisha mtu mbele ya jamii. Magazeti yanatakiwa yawe huru, yaandike ukweli ili kuelimisha jamii bila woga au upendeleo. Ukiangalia tasnia ya habari Tanzania hivi sasa utaona media imegawanyika kati ya pro-mafisadi na anti-mafisadi. Karibu kila newsroom na gazeti sasa hivi limeingiliwa kupitia wamiliki, wahariri na reporters. Hakuna objectivity na editorial independence. Waandishi wamekuwa na roho nyepesi kama kuku na kununuliwa
Wewe uliendika unatumiwa na nani?Thibitisha kauli yako"No Research,No right to speak"
Wezi wameenea kote Tz, sio CCM peke yake. Usifate upepo wa magazeti yanayotuyumbisha kila kukicha.Wote wezi hakuna aliye safi ndani ya ccm
Duh!ID name yako kiboko!Nimeipenda.Kwa mtu yoyote makini, ukisoma magazeti ya Tanzania unaona kabisa yako upande gani. Uweledi kwenye uandishi wa habari Tanzania na kufanya kazi bila woga wala upendeleo hakuna kutokana na njaa kali ya waandishi wa habari na wengi wao kutokwenda shule.
Ndiyo maana magazeti haya mengi yalitumika kujenga hisia kuwa fisadi Lowassa ni victim wa vita ya Urais ya 2015, kumbe ukweli unabaki palepale kuwa huyu ni mtuhumiwa mkubwa wa rushwa. Lazima afukuzwe kwenye chama na kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zake.
Kumbe sasa unasoma uhuru na mzalendo? Ulipoacha kusoma MWANAHALISI na Tanzania Daima uliambiwa hayauziki sasa hivi? Watu wengine kwa kujikweza hamjambo. Wewe ni kajitu kadogo sana ktk jamii hii, kenge wewe!Mimi niliacha kusoma MWANA HALISI na Tanzania Daima muda mrefu sasa baada ya kuona jinsi walivyonyea mavi kambi ya kuandika ukweli daima na kupambana na ufisadi na kuhamia kambi ya mafisadi. Waandishi wa Tanzania wenye roho za kuku wanachangia kuliteketeza taifa kama waandishi wa habari wa Rwanda walivyohusika na mauaji ya kimbari ya 1994 nchini mwao.
ZINGATIA hapo kwenye RED mkuu, wewe ni OWNER ama MDAU wa Gazeti la RAIA MWEMA na DIRA hivyo unawapondea your COMPITITORS ili wananchi wasiyanunue hayo magazeti? Wewe mpumbavu sana leave the market alone kama yamenunuliwa tutaona sie wasomaji na sio wewe utuambie.Mpaka hivi sasa, genge la kina Lowassa limejaribu na kushindwa kufanikiwa kwenye kila jitihada za kuyaingia au kuyamaliza kabisa magazeti mawili pekee yaliyosimama kidete kuueleza umma wa Tanzania ukweli. Nayo ni RAIA MWEMA na DIRA.
Huyu nae yupo kwenye huo mtandao wakumsafisha EL
Sasa kama anasafishwa na wewe hutaki asafishwe si mchafue. Sasa unataka nani amchafue.
weka hapa ufisadi wake,aniiiiiiiiika kila kitu,ukiweka ntakuunga mkono
acha upimbi wewe! We ulitaka waandike habari zinazokufurahisha wewe!? Kenge mkubwa we...
Wewe umaajiriwa na nani? Sitta, Membe au Nape?