Godbless Lema hukujifunza kwa Lowassa? Ipo siku utamsafisha Makonda

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,746
15,222
Wahenga walishaonya kuwa kusikia kwa kenge ni mpaka damu masikioni, inasikitisha sana genge la CHADEMA liliongoza kumtukana na kumchafua hayati Edward Lowasa bila ushahidi wowote ndiyo hilo hilo lilikuja kulazimika kutumia sabuni nyingi sana kumsafisha na kumuombea kura mbele ya Watanzania na kwa kuwa Watanzania siyo nyumbu kama wao waliambulia kunyimwa kura na wananchi!

Kwa miaka kumi mfululizo Mbowe, Lema, Lisu, Msigwa na magazeti yao ilikuwa kazi yao kubwa ni kumtukana Lowasa kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Kwa kuwa huwa hawajifunzi na ni kawaida ya nyumbu kutojifunza wameanza tena kumtukana kijana mchapakazi machachari na tegemeo la Watanzania masikini na wanyonge bwana Paul Makonda,
kwenye msiba wa Lowassa amesikika Godbless Lema akiporomosha matusi mazito kwa Makonda, lakini tunamuonya tu kuwa siku akihamia CHADEMA ni Lema huyo huyo ndiye atakayelazimika kumsafisha.

Tunatoa tahadhari kwa vijana wa CHADEMA wote wajifunze kwa Lowassa na kuanzia sasa kila wanapopewa maagizo ya kumtukana kiongozi fulani wawe wanaweka akiba ya maneno kwa sababu pindi Mbowe anapobadili gia angani wanaoumia ni BAVICHA maana wanakuwa na kazi kubwa ya kusafisha matope waliyoyarundika wao wenyewe.
 
Watakwambia siasa haina adui wala rafiki wa kudumu, ndio maanaa unamuona Dr Slaa kwenye maandamano ya CDM na hivyo hivyo utakavyomuona Makonda siku Yuko CDM.

Watanzania ni wepesi sana.
 
Wahenga walishaonya kuwa kusikia kwa kenge ni mpaka damu masikioni, inasikitisha sana genge la chadema liliongoza kumtukana na kumchafua hayati Edward Lowasa bila ushahidi wowote ndiyo hilo hilo lilikuja kulazimika kutumia sabuni nyingi sana kumsafisha na kumuombea kura mbele ya watanzania na kwa kuwa watanzania siyo nyumbu kama wao waliambulia kunyimwa kura na wananchi!.

Kwa miaka kumi mfululizo Mbowe, Lema, Lisu, Msigwa na magazeti yao ilikuwa kazi yao kubwa ni kumtukana Lowasa kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Kwa kuwa huwa hawajifunzi na ni kawaida ya nyumbu kutojifunza wameanza tena kumtukana kijana mchapakazi machachari na tegemeo la watanzania masikini na wanyonge bwana Paul Makonda,
kwenye msiba wa Lowasa amesikika Godbless Lema akiporomosha matusi mazito kwa Makonda, lakini tunamuonya tu kuwa siku akihamia Chadema ni Lema huyo huyo ndiye atakayelazimika kumsafisha.

Tunatoa tahadhari kwa vijana wa chadema wote wajifunze kwa Lowasa na kuanzia sasa kila wanapopewa maagizo ya kumtukana kiongozi fulani wawe wanaweka akiba ya maneno kwa sababu pindi Mbowe anapobadili gia angani wanaoumia ni bavicha maana wanakuwa na kazi kubwa ya kusafisha matope waliyoyarundika wao wenyewe.
Wacha kutetea mhalifu mwenye bahati. Makonda ni mfungwa mtarajiwa ni siala la muda na gereza ndilo hatujui. Tuombe uzima tu
 
Watakwambia siasa haina adui wala rafiki wa kudumu, ndio maanaa unamuona Dr Slaa kwenye maandamano ya CDM na hivyo hivyo utakavyomuona Makonda siku Yuko CDM.

Watanzania ni wepesi sana.
Makonda ni mtu mwenye kudaiwa roho za watu .kukataliwa kuingia marekani iliandikwa "anatuhumiwa kudhurumu haki ya watu kuishi" huyu si mwanasiasa anapaswa aashitakiwe anyongwe hadi kufa
 
Wahenga walishaonya kuwa kusikia kwa kenge ni mpaka damu masikioni, inasikitisha sana genge la chadema liliongoza kumtukana na kumchafua hayati Edward Lowasa bila ushahidi wowote ndiyo hilo hilo lilikuja kulazimika kutumia sabuni nyingi sana kumsafisha na kumuombea kura mbele ya watanzania na kwa kuwa watanzania siyo nyumbu kama wao waliambulia kunyimwa kura na wananchi!.

Kwa miaka kumi mfululizo Mbowe, Lema, Lisu, Msigwa na magazeti yao ilikuwa kazi yao kubwa ni kumtukana Lowasa kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Kwa kuwa huwa hawajifunzi na ni kawaida ya nyumbu kutojifunza wameanza tena kumtukana kijana mchapakazi machachari na tegemeo la watanzania masikini na wanyonge bwana Paul Makonda,
kwenye msiba wa Lowasa amesikika Godbless Lema akiporomosha matusi mazito kwa Makonda, lakini tunamuonya tu kuwa siku akihamia Chadema ni Lema huyo huyo ndiye atakayelazimika kumsafisha.

Tunatoa tahadhari kwa vijana wa chadema wote wajifunze kwa Lowasa na kuanzia sasa kila wanapopewa maagizo ya kumtukana kiongozi fulani wawe wanaweka akiba ya maneno kwa sababu pindi Mbowe anapobadili gia angani wanaoumia ni bavicha maana wanakuwa na kazi kubwa ya kusafisha matope waliyoyarundika wao wenyewe.
Jambazi alieokoka anatamani kuchukua nafasi ya mungu 🐒
 
Makonda ni muuaji ambaye hata miaka mingapi ipite, na kama ataendelea kuwa hai, ni lazima atafikishwa mahakamani. Weka kumbukumbu haya ninayokuambia. Siku rais Samia atakapoondoka kwenye madaraka Makonda atashikwa kujibu mashitaka mengi tu. Tena huko huko CCM ndiko kuliko na maadui zake wanaotamani hata kumuua. Magufuli tulisema hivi hivi kuwa maadui wake halisi wako CCM, yeye akadhani wapinzani ndiyo wabaya, kiko wapi sasa hivi? Wale wale waliokuwa wanainama kama wanaabudu kila wanapopita mbele yake ndiyo walikuwa mbele kumzodoa.
 
Makonda amekaa bila madaraka kwa miaka 3 mlishindwa nini kumshitaki?
 
Lowasa hakusafishwa,Bali mmiliki Hali wa Richmond alfahamaika baadae,El alikua mbuzi wa kafara TU.
Makonda nae hatasafishwa Hadi atutajie aliejua anamtuma kutenda jinai ni nani.
 
Makonda ni mtu mwenye kudaiwa roho za watu .kukataliwa kuingia marekani iliandikwa "anatuhumiwa kudhurumu haki ya watu kuishi" huyu si mwanasiasa anapaswa aashitakiwe anyongwe hadi kufa

Mwenye jukumu la kumshitaki Makonda ni nani?
Hivi kama kweli Makonda ni muuaji, taasisi za haki za binadamu humu ndani haziwezi kukusanya ushahidi na kumshitaki?

Kwanini CHADEMA na vyama vingine vya siasa na wanasiasa wasikusanye ushahidi na kumshitaki? au hata kuishinikiza serikali ichukue hatua kwa kuibana mbavu kupitia taasisi za kimataifa?
 
Wahenga walishaonya kuwa kusikia kwa kenge ni mpaka damu masikioni, inasikitisha sana genge la chadema liliongoza kumtukana na kumchafua hayati Edward Lowasa bila ushahidi wowote ndiyo hilo hilo lilikuja kulazimika kutumia sabuni nyingi sana kumsafisha na kumuombea kura mbele ya watanzania na kwa kuwa watanzania siyo nyumbu kama wao waliambulia kunyimwa kura na wananchi!.

Kwa miaka kumi mfululizo Mbowe, Lema, Lisu, Msigwa na magazeti yao ilikuwa kazi yao kubwa ni kumtukana Lowasa kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Kwa kuwa huwa hawajifunzi na ni kawaida ya nyumbu kutojifunza wameanza tena kumtukana kijana mchapakazi machachari na tegemeo la watanzania masikini na wanyonge bwana Paul Makonda,
kwenye msiba wa Lowasa amesikika Godbless Lema akiporomosha matusi mazito kwa Makonda, lakini tunamuonya tu kuwa siku akihamia Chadema ni Lema huyo huyo ndiye atakayelazimika kumsafisha.

Tunatoa tahadhari kwa vijana wa chadema wote wajifunze kwa Lowasa na kuanzia sasa kila wanapopewa maagizo ya kumtukana kiongozi fulani wawe wanaweka akiba ya maneno kwa sababu pindi Mbowe anapobadili gia angani wanaoumia ni bavicha maana wanakuwa na kazi kubwa ya kusafisha matope waliyoyarundika wao wenyewe.
Kama wewe sio Makonda mwenyew basi achana nae, kitendo cha kuandika humu Bashite ni mchapa kazi na machachari ni kujiaibiaha tu. BASHITE HAKUNA ANACHOKUZIDI WEWE KICHWANI ZAIDI YA YALE MAKALIO YAKE MAKUBWA NA MALI ZA DHURUMA. Nimekushauli kama msukuma mwenzio. Lekanaga nawe akukigije idako duku amasala umuntwe nduhu kinu.
 
Mwenye jukumu la kumshitaki Makonda ni nani?
Hivi kama kweli Makonda ni muuaji, taasisi za haki za binadamu humu ndani haziwezi kukusanya ushahidi na kumshitaki?
Kwanini CDM na vyama vingine vya siasa na wanasiasa wasikusanye ushahidi na kumshitaki? au hata kuishinikiza serikali ichukue hatua kwa kuibana mbavu kupitia taasisi za kimataifa?
Nauhakika wewe sio raia mtanzania asingeulizw haya. Waziri kanunua kwenye mnada bil8 nyumba masaki last month .watu wamehoji kigwangaara hata karopoka .je ummy ameshitakiwa wapi?nyumba zilizotolewa kwa plea bargain zimekutwa na jina la biswalo badala ya serikali.je ameshtakiwa? Si ndo kwanza kapewa ujaji.

Makonda anagombea nyumba na gsm regency estate eneo la bil 4 .je mkuu wa mkoa kwa nini hahojiwi kwa mshahara wa mil 8 miaka miwili alitoa wapi.lile lighorofa mwanza alitoa wapi.

Kesi ya tundulisu unaamini serikali ni wadhaifu kuwa wapiga risasi hawajurikNi .toka leo kampige ridhiwani bastola ya kucha tu tuone kama jua litazsma hujawa jela
 
Back
Top Bottom