Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 7,448
- 19,789
Body language na emotional intelligence ni masomo yanatakiwa kuwekwa kama nyongeza baadae yajumuishwe mazima ktk mitaala ya elimu kuongeza UFAHAMU mana haya ni masomo ambayo tunayaishi kila siku kila saa shida wengi hatuna trained eye even mind.Richard Chase aliamini kwamba Wanazi walikuwa wakigeuza damu yake kuwa unga kwa sumu waliyoiweka chini ya bakuli lake la sabuni. Hili lilimfanya awe na wasiwasi kwamba angeishiwa damu. Hivyo akawa anawapiga risasi wahisiwa wake, kufanya ngono na maiti, na kisha kuoga kwenye dimbwi la damu. Kati ya idadi ya watoto wadogo aliowaua, alikula viungo vyao vya ndani na kunywa damu yao. Hatimaye alikamatwa na kuhukumiwa kifo kwenye chumba cha gesi. Mnamo tarehe 26 Desemba 1980, hata hivyo, alipatikana kuwa amejiua gerezani.
NB:
Huyu alifanya yote hayo kwasababu ya wasiwasi tuu.. Just imagine.. Wasiwasi... Fear of the unknown...! Lakini je.. Mtu kama huyu hakuwa na background iliyojaa maumivu?View attachment 2553794
So Tunapitwa na vingi mbele ya macho na ku jikuta tuko nyuma ya muda.