Mpenda maendeleo Tz
Member
- Sep 20, 2020
- 83
- 49
Kumbe hata na wewe unalitambua hilo?Hana mpinzani huyu Baba, kwa mapenzi ya dhati aliyonayo kwa Taifa letu na kwa sisi wananchi kiukweli anastahili miaka mitano tena.
Nitamchagua Magufuli
#Tulipotokatunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#AchaKaziIendelee
#hapakazituu
Hakika vijana tukiwa nguvu moja hakika TAIFA hili halitachukuliwa na mabeberu