Kwa vile unaonekana humu 24hrs ina maana huna kazi kabisa.Mimi humu JF, napita kama sina kazi ukitaka kujua hilo anagalia muda niliojiunga na posts zangu.
Kuna watu humu JF, wana mwezi tu wana posts 2000 mpaka 3000.
Kama saizi mimi nipo Shelisheli nimepumzika
ngongo lete familia yako pamoja na mkeo nikulele ndipo utakapo jua nina uwezo si wa kutunza familia yangu hata ya kwako kama wewe kuripoti ukweli lazima uwe umepiga mzinga ni wewe....
Mimi humu JF, napita kama sina kazi ukitaka kujua hilo anagalia muda niliojiunga na posts zangu.
Kuna watu humu JF, wana mwezi tu wana posts 2000 mpaka 3000.
Kama saizi mimi nipo Shelisheli nimepumzika
Ndo kesi inaanza
Hapo hakuna kesi wanacheza na akili za watu tu mtu umefukuzwa unalazimisha kuolewa utakuwa na kili kweli.mpaka sasa washitaki siwaoni sijui wameogopa nyomi ya watu..
Pingamizi gani.kesi imehahilishwa mpaka ijumaa ijayo ili pingamizi lililowekwa na wakili wa chadema lisikilizwe..
kesi imehahilishwa mpaka ijumaa ijayo ili pingamizi lililowekwa na wakili wa chadema lisikilizwe..
Shua mkuu wanatumia nguvu nyingi mno kwa kitu kidogo badala ya kutumia akili. Pesa, Dola, Mahakama, Bunge lakini wanazidi ku loose kwa nini hawajiulizi?MAGAMBA wanatisha! they are working hard but CDM work smart, nani atashinda?
kesi inaanza malla na wenzake anawakilishwa na wakili..
Elimu yangu na kazi yangu inanitosha siishi kwa kutegemea chama kama wewe.Nilikuwa najiuliza mpaka saizi ujatokea kwenye hii thread, vijana msingi wa maisha nikufanya kazi kwa bidii acheni kukaa vijiweni, angalizo tu msije kuwa watumwa wa siasa kama jamaa zenu kina Tambwe Hizza, jaribu kumbana mbowe akupe ajira pale Billicanas
Hapo hakuna kesi wanacheza na akili za watu tu mtu umefukuzwa unalazimisha kuolewa utakuwa na kili kweli.
<br />Labda ungetutafsiria kwa Kiswahili ulichotaka kumaanisha hapa!