Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA watinga mahakamani

Waachenı nı hakı yao kufanya hvyo kama walıvyopewa ushaurı na Pm
 
watajuta kupoke rushwa toka kwa magamba, nan aliwadanganya! aliye sema atawalinda naye yu kikaangoni
 
Naibu meya wa Arusha Comrade Mallah, na Diwani Bayo, hawa ndio wanamapinduzi wa Arusha wapenda amani.<br />
Nimejitolea nitawatafutia mawakili watatu hata kutoka nje ya nchi mpaka wapate haki yao za kikatiba, ingawa najua kabisa hiyo kesi inaweza kuchuwa miaka minne mpaka mitano
<br />
<br />
Huwezikua mwana Arusha wewe wacha ulimbukeni
 
Thanks Crashwise kwa kutuhabarisha najua wengi wanakukebehi lakini ukweli utabaki kuwa wewe ni mwanaharakati wa kweli endeleeni kutujuza.
 
waliokuwa madiwani kupitia chadema wilaya Arusha mjini na chadema watatinga mahakamani ni kwenye sakata la wasaliti hao kutaka kurudishiwa uanachama wao na kuendelea udiwani wao, madiwani hao ni malla, Bayo, mpanda, rehema...tutaendelea kuwajuza..

Si wahamie tu CCM kwenye masirahi mazuri
 
Zumbukuku, usichague kazi wakati elimu huna? Au Mwambie a loser Dr Slaa akutafutie hata kazi ya utingo kwenye zile Fuso za CDM, fanyeni kazi vijana msikae kwenye vijiwe vya mbege mnashinda mnakunywa viroba Bongo bond Whisky. Mnasubiri kupora raia simu zao
hakuna raha yoyote wewe una kula na kusaza laini jilani yako hana uhakika wa mlo hata mmoja, hakuna usawa hospitalini, hakuna haki mahakamani..watoto na akina aawnkua hoptalini akina nymbo wana ma trilion nje..eti tufanye kazi
 
Si wahamie tu CCM kwenye masirahi mazuri
mkuu najua ukotayari kununua condom kwa garama yoyote ikibidi lakini ukisha itumia hata kuishika unaona kinyaa ndicho kitakacho wakuta malla na wenzake..
 
hakuna raha yoyote wewe una kula na kusaza laini jilani yako hana uhakika wa mlo hata mmoja, hakuna usawa hospitalini, hakuna haki mahakamani..watoto na akina aawnkua hoptalini akina nymbo wana ma trilion nje..eti tufanye kazi
Mkuu acha kujibizana na watu wa aina hiyo,wewe endelea kutujuza kinachoendelea huko Arusha.
 
Thanks Crashwise kwa kutuhabarisha najua wengi wanakukebehi lakini ukweli utabaki kuwa wewe ni mwanaharakati wa kweli endeleeni kutujuza.
asante mkuu...bahati nzuri hakuna raha kama kutetea ukweli...hao wanao ni kebei kwenye kampeni walijidai wachunguzi na watabiri tuliletewa info mpaka wagombea wapokuwa darasa la pili leo crashwise kuripoti kinachoendelea mahakamani imekuwa nongwa..nitaripti kadri ya uezowg wote na j3 nitaripoti juu ya kesi ya lema na ijumaa kesi ya CDM na mala
 
CDM haiwataki, sasa wao wanataka nini? waamie CCM huko ndio wanafaa. waombe tu magamba, halafu mchezo utakwisha. Wathubutu kugombea udiwani kupitia CCM.
 
Nimeangalia hizo picha apo mahakamani wengi ni wahuni wa maeneo ya Sakina na Standi ya vifodi ni wahuni tu ndio wanaompiga Naibu Meya wa Arusha, Comrade Mallah mpenda Amani
 
Nimeangalia hizo picha apo mahakamani wengi ni wahuni wa maeneo ya Sakina na Standi ya vifodi ni wahuni tu ndio wanaompiga Naibu Meya wa Arusha, Comrade Mallah mpenda Amani

Ritz eh' hebu ni kuulize kitu na ninaomba unijibu tafadhari' hivi hawa jamaa baada ya kufukuzwa Chadema inashindikana vyp kutafuta chama kingine ili wangombee baada ya uchaguzi kurudiwa?
 
Back
Top Bottom