Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA watinga mahakamani

Mimi nawashauri wana JF hususan wale wenye Jazba wa Chadema. Naomba mjue kuwa nchi yenu inafuata utawala wa sheria. Na kwa mantiki hiyo SUALA LOLOTE LIKIWA MAHAKAMANI HALIRUHUSIWI KULIZUNGUMZIA MPAKA MAHAKAMA ITAKAPO TOA HUKUMU YAKE.

Hivyo kuweni na subra na kuwapa mahakama nafasi kulisikiliza na kutoa uamuzi ulio sahihi pasi na kupendelea upande wowote
 
Hivi, hata kama wakishinda kesi, watakuwa na raha gani kufanya kazi zao wakiwa Chadema? Hawa kuna kitu wanatafuta na nadhani kuna kundi la magamba nyuma yake.
tangu lini mahakama ikawarudishia uanachama wanachama waliofukuzwa?
 
Usijidanganye kabisaaaaa. Kwani wana haki kote kote kusikilizwa. Kwani hivyo ni vyombo viwili tofauti. Na sabau kuu ni kuona Labda ile CC ya Chadema haitawatendea haki ndio wamefungua kesi mahakamani.

Kama ingekuwa wamefungua shauri lao mahakama ya mwanzo na tena kufungua shauri hilo hilo mahakama ya wilaya hapo ndio pangeleta utata na mahakama moja ingetakiwa ilitupilie mbali shauri hilo ili kutoa nafasi kwa mahakama nyingine kusikiliza.

Mkuu hii kesi haiwezi kuamuliwa bila kupitia katiba ya CHADEMA maana huo ndiyo msingi wa ni namna gani mwanachama anapoteza sifa ya kuwa mwanachadema period. It is that simple, no rocket science!!!!!!!!
 
Mimi nawashauri wana JF hususan wale wenye Jazba wa Chadema. Naomba mjue kuwa nchi yenu inafuata utawala wa sheria. Na kwa mantiki hiyo SUALA LOLOTE LIKIWA MAHAKAMANI HALIRUHUSIWI KULIZUNGUMZIA MPAKA MAHAKAMA ITAKAPO TOA HUKUMU YAKE.

Hivyo kuweni na subra na kuwapa mahakama nafasi kulisikiliza na kutoa uamuzi ulio sahihi pasi na kupendelea upande wowote
Duh utawala wa sheria ipi mkuu wangu mbona huku majuu kesi zinajadiliwa kila siku kulingana na sheria zilizopo. Mahakamani ni mahala pa suluhisho tu lakini sheria tangulizi zinafuatwa ni zile zilizopelekea kuwepo kwa mkataba au makubaliano yenu. Leo hii Tanzania tunawalipa Dowans kutokana na sheria ya mkataba tuloingia nao hata kama tunaonewa lakini maadam tulikubali na ushahidi upo basi mahakama haina budi kuwapa ushindi Dowans..Maadam hawa Madiwani wamevunja kanuni za chama, mahakama haiwezi kuwapa nafasi unless watakuwa na ushahidi toka ktk katiba ama kanuni za chama unaodhihirisha kinyume..

Kama wewe unaelewa lolote kinyume cha sisi tunavoelewa nadhani huu ni wakati mzuri sana wa kuzungumzia ili hukumu itakapo toka tusianze kulaumu mahakama, Madiwani au Chadema..
 
tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............
 
Ruta nakuheshim sana kwa hili no. Najua umesaidia sana arusha tukapata mbunge na madiwani ila chama kina taratibu zake na kishindo hicho ccm hawakiwezi zaidi ya kutisha watu hovyo. Kimsingi hapo hamna kesi ila kutekeleza wito kwa uongozi chadema. Wamefukuzwa chama sio udiwani na udiwani wameukosa naturally kwa ukaidi wao. Mkiwa na chama kisicho maamuzi ni sawa na hakuna kitu. Hiyo kesi haipo na hao hata wagombee kwa ccm hawaaminiki tena ktk jamii na chadema itarudisha kata zote hata ikose moja potelea mbali maana ukaidi ule ulikuwa unaelekea eti uwatukane chama makao makuu wake kimya. Sorry kama wewe ndiO Rasta diwani nakuheshim tumepambana sana lakini kwa hili usiyerudi nyuma naona unaanza kurudi nyuma
 
tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............
mkuu kwa hili umechemka mbaya..nini maana ya kuchagua diwani kupitia cdm au ccm...
 
tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............

Heshima kwako Ruta.

Mkuu tuko pamoja kabisa.

Mimi nawashauri wana JF hususan wale wenye Jazba wa Chadema. Naomba mjue kuwa nchi yenu inafuata utawala wa sheria. Na kwa mantiki hiyo SUALA LOLOTE LIKIWA MAHAKAMANI HALIRUHUSIWI KULIZUNGUMZIA MPAKA MAHAKAMA ITAKAPO TOA HUKUMU YAKE.

Hivyo kuweni na subra na kuwapa mahakama nafasi kulisikiliza na kutoa uamuzi ulio sahihi pasi na kupendelea upande wowote

Mkuu Baru utashangaa viongozi na baadhi ya wanachama wa CDM tayari wameshatoa hukumu Mahakama ikitoa hukumu yake tofauti na walivyotarajia hawakawi ohoo Hakimu kahongwa.
 
NDOFU,
CDM ni chama cha wananchi unakubaliana na mimi? Kama ndio hivyo kwa nini Dr Slaa na Mbowe wawafukuze kina Mallah na wenzake wakati Mbowe na Dr Slaa CDM wameikuta? Wote walikuwa Magamba

Ndugu Ritz haujajibu swali langu! Msingi wa swali langu ni kutaka kujua kama hawawezi kugombea udiwani kwa tiketi ya chama kingine wakaachana na Chadema inayowanyanyasa! nadhanh unaweza kunipa jibu tena ndugu!
 
tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............
Mkuu Rutashubanyuma, haya maswali yako ni ya ujenzi sana
 
Ndugu Ritz haujajibu swali langu! Msingi wa swali langu ni kutaka kujua kama hawawezi kugombea udiwani kwa tiketi ya chama kingine wakaachana na Chadema inayowanyanyasa! nadhanh unaweza kunipa jibu tena ndugu!
tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............
 
Hii ni kujikanyaga hawa madiwani, nionavyo mimi walitakiwa kukata rufaa Baraza kuu la CDM, wakishindwa ndio walitakiwa kwenda Mahakamani
 
Mkuu mbona hujibu swali tunaomba ujibu hili swali Msingi wa swali ni kutaka kujua kama hawawezi kugombea udiwani kwa tiketi ya chama kingine wakaachana na Chadema inayowanyanyasa! toa jibu! Hivi ukifukuzwa si unaenda chama kingine na kama wananchi wanakupenda wewe si chama si watakuchagua tu ?
 
Heshima kwako Ruta.

Mkuu tuko pamoja kabisa.

Mkuu Baru utashangaa viongozi na baadhi ya wanachama wa CDM tayari wameshatoa hukumu Mahakama ikitoa hukumu yake tofauti na walivyotarajia hawakawi ohoo Hakimu kahongwa.
Jumatatu unaanza harakati za kuutafuta ubunge, vipi utakuwepo huko....
 
Hii ni kujikanyaga hawa madiwani, nionavyo mimi walitakiwa kukata rufaa Baraza kuu la CDM, wakishindwa ndio walitakiwa kwenda Mahakamani
wamesha kata na wakafungua kesi ya zuio la mikutano ya chadema kuwazungumzia hii ilitokana na zomezome kila walipo kuwa wakikatiza....
 
tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............

Asante kwa kunijibu kwa kutumia maneno ya Rutashumbanyuma, sasa Ritz,swala ni nani aliyewachugua au ni ni makosa waliyoyafanya? Halafu mipaka ya kazi ya kamati kuu ya chadema ni ipi? kumbe hata wewe unatambua kuwa ccm inamatatizo Mpaka ukaifananisha chadema na ccm(maana unaamini chadema wamekosea!) Karibu ndugu.
 
<font size="3"><font color="#0000ff">Mkuu Rutashubanyuma, haya maswali yako ni ya ujenzi sana</font></font>
<br />
<br />

Nadhanu hapa mko kishabiki zaidi lakini mnayajua majibu ya mwisho wa sakata hili. Mahakama itakachokifanya hapa labda ni kuchelewesha hukumu tu kwa sababu inafuata maelekezo ya magamba. Hakimu haamui kesi kama hii kwa utashi wake bali kwa vifungu vya sheria na tena vya kutoka katiba ya nchi. Kama chadema walifanya maamuzi pasipo kifuata katiba yao basi madiwani wanaweza kurejeshewa uananchama. Hiki ndicho kipengele pekee hakimu atakachotaka kujilidhisha na kutoa maamuzi yake hamna kitu kingine hapa. Atachelewesha tu kuficha aibu ya aliyewashauri waende mahakani.

Lakini hatakama chadema wamekosea katika utaratibu wa kuwavua uananchama, bado wao ndo watabaki wameshika mpini n a madiwani wakibaki kushika makali. Kama watarejeshwa basi itabidi wakili na kuoomba msamahalakini wakiendelea kukaidi bado chadema watafuata utaratibu mzuri wa kuwafutilia mbali uananchama na kwa mara hii naamini hawatakuwa na nafasi tena ya kwenda mahakamani maana utaratibu utafuatwa kikamilifu kwa mjibu ya kataiba yao.

Ninachoamini chadema wako smart ndiyo maana mpaka leo hawajamfukuza shibuda na hata hawa madiwani walichukua muda mrefu wakiwasihi lakini wakajiona wao ni zaidi ya chama na wana nguvu ya waliowachagua kumbe wanajidanganya.

Kama walikuwa wameacha kazi zao za ajira kwa ajiri ya udiwani basi warudi wakawapigie magoti waajiri wao wawarejeshe kwa ajiri ya kunusuru familia zao maana hapa hawana namna ya kutoka wameshabanwa.
 
Back
Top Bottom