Ndo maana kuna mental illnessHivi umesoma vizuri alivyoeleza ujaona kifo hapo cha mama huyo.
Fikilia watoto wa kaka yako kabisa wa baba mmoja na mama mmoja, wanawasusa na kuwasahamu kwa kitendo kilichotokea kwa mama yao.
Utajisikiaje?
Kwa hio unaona ni sawa tuu.
Hayo ndo madhara yenyewe ujayaona mkuu