new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 814
- 1,629
Utakua ulibadirisha transmission fluid na ukawekewa fake so gari imeua transmission system. Hapo nunua gearbox mpyaImo ya kutosha kabisaaa ndugu yangu

Nadhani uko sahihiUtakua ulibadirisha transmission fluid na ukawekewa fake so gari imeua transmission system. Hapo nunua gearbox mpya
Atakua walimuwekea lubex badala ya ATF type iv... Hii mambo inasikitishaga sana mafundi wengi hawapo makini na wanatia hasara watu.
Mimi gearbox ya Nissan Serena wee acha tuAtakua walimuwekea lubex badala ya ATF type iv... Hii mambo inasikitishaga sana mafundi wengi hawapo makini na wanatia hasara watu.
Mie hivi karibuni fund kabadirisha crankshaft seal inayo zuia oil isivuje kwenye pulley, akajichanganya wakati wa kurudishia pulley, sasa jino la pulley likiwa halijaona vizuri ni key ya inayo unganisha pulley na spocket ya timing chain, alirudishia mkanda na kuwasha engine, key ikakatika , stoket ya timing chain ikaacha kuzunguka, matokeo yake valve na piston vikakutana injini ikafa, nkaishia nunua injini mswaki.. service ya elfu 10 ikaishia kununua injini mpya.
Serena inakuja na CVT?.Mimi gearbox ya Nissan Serena wee acha tu
Duuu, kumbe hydraulic ukiwekewa fake ina madhara hivi?Atakua walimuwekea lubex badala ya ATF type iv... Hii mambo inasikitishaga sana mafundi wengi hawapo makini na wanatia hasara watu.
Mie hivi karibuni fund kabadirisha crankshaft seal inayo zuia oil isivuje kwenye pulley, akajichanganya wakati wa kurudishia pulley, sasa jino la pulley likiwa halijaona vizuri ni key ya inayo unganisha pulley na spocket ya timing chain, alirudishia mkanda na kuwasha engine, key ikakatika , stoket ya timing chain ikaacha kuzunguka, matokeo yake valve na piston vikakutana injini ikafa, nkaishia nunua injini mswaki.. service ya elfu 10 ikaishia kununua injini mpya.
Si mchezo... Cvt ya nissan inayotengezwa jatco si mchezo.. haitaji mixing ya fluid.. kama inataka NS-2 weka hiyohiyo nothing else wala universal fluid.. hii ni pamoja na cvt transmission inayokuja kwenye toyota.. usipo zingatia kuiwekea CVT-TC ya toyota gearbox hufa.Yeah na inauzwa kwenye gallon ya lita 5 kwa laki moja hivi... Fundi akaenda kuweka ile feki ya lita moja moja
Ndo hivo.. angalia recommend fluid inayokua recommended na manufacturerDuuu, kumbe hydraulic ukiwekewa fake ina madhara hivi?
Sahihi kabisaSi mchezo... Cvt ya nissan inayotengezwa jatco si mchezo.. haitaji mixing ya fluid.. kama inataka NS-2 weka hiyohiyo nothing else wala universal fluid.. hii ni pamoja na cvt transmission inayokuja kwenye toyota.. usipo zingatia kuiwekea CVT-TC ya toyota gearbox hufa.
Recommendation ya fluid kwenye gari yangu naipata wapi?Ndo hivo.. angalia recommend fluid inayokua recommended na manufacturer
Brother Mshana kukupata Pm ni changamoto sana
Ziko vizuri sana hasa kwa
Fuel consumption
Durability
Stability
Comfortability nk
Pata RD5 utaenjoy sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakua walimuwekea lubex badala ya ATF type iv... Hii mambo inasikitishaga sana mafundi wengi hawapo makini na wanatia hasara watu.
Mie hivi karibuni fund kabadirisha crankshaft seal inayo zuia oil isivuje kwenye pulley, akajichanganya wakati wa kurudishia pulley, sasa jino la pulley likiwa halijaona vizuri ni key ya inayo unganisha pulley na spocket ya timing chain, alirudishia mkanda na kuwasha engine, key ikakatika , stoket ya timing chain ikaacha kuzunguka, matokeo yake valve na piston vikakutana injini ikafa, nkaishia nunua injini mswaki.. service ya elfu 10 ikaishia kununua injini mpya.
Nissan nyingi za kuanzia around mwaka 2004 ni CVT.Serena inakuja na CVT?.