Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nadhani uko sahihi

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Atakua walimuwekea lubex badala ya ATF type iv... Hii mambo inasikitishaga sana mafundi wengi hawapo makini na wanatia hasara watu.

Mie hivi karibuni fund kabadirisha crankshaft seal inayo zuia oil isivuje kwenye pulley, akajichanganya wakati wa kurudishia pulley, sasa jino la pulley likiwa halijaona vizuri ni key ya inayo unganisha pulley na spocket ya timing chain, alirudishia mkanda na kuwasha engine, key ikakatika , stoket ya timing chain ikaacha kuzunguka, matokeo yake valve na piston vikakutana injini ikafa, nkaishia nunua injini mswaki.. service ya elfu 10 ikaishia kununua injini mpya.
 
Mimi gearbox ya Nissan Serena wee acha tu
 
Duuu, kumbe hydraulic ukiwekewa fake ina madhara hivi?
 
Yeah na inauzwa kwenye gallon ya lita 5 kwa laki moja hivi... Fundi akaenda kuweka ile feki ya lita moja moja
Si mchezo... Cvt ya nissan inayotengezwa jatco si mchezo.. haitaji mixing ya fluid.. kama inataka NS-2 weka hiyohiyo nothing else wala universal fluid.. hii ni pamoja na cvt transmission inayokuja kwenye toyota.. usipo zingatia kuiwekea CVT-TC ya toyota gearbox hufa.
 
Sahihi kabisa
 
Atakua walimuwekea lubex badala ya ATF type iv... Hii mambo inasikitishaga sana mafundi wengi hawapo makini na wanatia hasara watu.

Mie hivi karibuni fund kabadirisha crankshaft seal inayo zuia oil isivuje kwenye pulley, akajichanganya wakati wa kurudishia pulley, sasa jino la pulley likiwa halijaona vizuri ni key ya inayo unganisha pulley na spocket ya timing chain, alirudishia mkanda na kuwasha engine, key ikakatika , stoket ya timing chain ikaacha kuzunguka, matokeo yake valve na piston vikakutana injini ikafa, nkaishia nunua injini mswaki.. service ya elfu 10 ikaishia kununua injini mpya.

Sometimes wanaochajisha hela nyingi kwenye hizi kazi muwe mnawaelewa.

Sijui wewe na fundi wako mlimalizanaje ila kwa mwingine kazi ambayo inainvolve risk kama hiyo you are going to pay extra money.

Maana kwa mwingine engine ikishazingua kama hivyo fundi ndio anailipa.

Sasa mtu akipiga hesabu deal ya 10k ndio limlipishe engine ya 1m au zaidi. Anaona biashara kichaa bora tu aropoke bei.

Siyo kwa ubaya.
 
Back
Top Bottom