2004 gari ya zamani sana mkuu. Miaka 20 iyo ujue.
Ingekua ni rav4 old, ugesifu sana. Ndio shida yetu wa Tz.2004 gari ya zamani sana mkuu. Miaka 20 iyo ujue.
Siendeshi a 10 year-old car, sembuse 20. Usinilazimishe Utaifa.Ingekua ni rav4 old, ugesifu sana. Ndio shida yetu wa Tz.
Sawa mkuu, sisi tunaendesha kila tunayijaaliwa nayo madhali inatembe.Siendeshi a 10 year-old car, sembuse 20. Usinilazimishe Utaifa.