Ushauri juu ya ununuzi wa magari ya mnada unaofanywa na TRA kwa njia ya mtandao

baller

Member
Mar 29, 2016
80
82
Hello JFs members

Naomba mnipe mawazo/ushauri juu ya ununuzi wa magari yanayopigwa mnada na TRA kwa njia ya mtando.

Idea niliyonayo ni kwamba ninunue gari then nilifanyie matengenezo kidogo halaf niliuze. Mfano magari kama IST, Raum na mengineyo ya type hizo unakuta kwenye mnada yanaanzia 6M hadi 7M lakin mkianza kubid bei inaeza kufika 9M hadi 10M. Baada ya hapo mtu unaeza liingiza sokoni na kuliuza labda kwa faida ya 1M hadi 1.5M.

Je, kuna member yeyote humu amewahi kujaribu hii biashara na kama kunachangamoto zozote amekumbana nazo plz naomba tushauriane.

Karibuni wadau.
 
Kwenye biashara hapa bongo hakuna kupeyana ushauri kama huu, yaani mfanyabiashara anajua baadae unakuja kuwa mshindani mwenziwe.
Suali:- ukishanunua unalipia ushuru au ndio imetoka?
 
Hyo bid price ndo kodi yenyew utakacho kuja kulipia ni gharama za usajili tu
 
Back
Top Bottom