Mkuu Mshana jr nakupongeza sana kwa kutoa wazo kama hili hapa jf..naombeni msaanda wa kiufundi wa gari yangu
Aina ya gari ni Toyota cami ya mwaka 1999, model GF - J100E , engine namba ni HC 0779565 na CC ni 1290.. nimeinunua katika showroom moja Dar es salaam miezi 6 iliyopita, sasa tatizo lake ni kuwa inatumia petrol kwa kiwango ambacho si cha kawaida kwa gari aina hiyo ..yaani inatumia mafuta mengi karibu sawa au kuzidi hata Noah, nikahisi kuwa labda hii gari inakuwa na 4 wheel mda wote, sasa baada ya kupeleka kwa fundi akasema ni kweli akafanya Diagnosis akasema upande wa Engine hakuna tatizo..ila tatizo lipo upande wa Transmition ambapo eti ktk gear box diaphragm imenasia hivyo inasababisha gari kuwa katika 4wheel mda wote..wakati inatakiwa ukitaka kuweka 4wheel uwe unabonyeza button ndio inaji engage kuwa 4wheel.. kwa hiyo kwa mujibu wa maelezo ya fundi ni kuwa tatizo la kula mafuta mengi ni gari kuwa Full time 4wheel drive..kwa hiyo kashauri afungue gearbox ili kuiangalia hiyo Diaphragm na kuinasua.
Sasa naomba ushauri wenu wa kitaalam je hili linaweza kuwa tatizo? Au kuna tatizo lingine? Wataalam karibuni natanguliza shukurani...