Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

Dr Matola PhD
Mzee baba nimesikia Tom Shempemba kafariki mazee, sijui kama umesikia...

Sijui kama unamkumbuka, alichezea Pazi, halafu kuna wakati alichezea Chang'ombe wakati ule Pazi ina kina John Tambwe (Wa mafuta), Atiki, Nyembela, Shaban...
Kafariki lini????
Ebu ngoja niulize mabraza
Screenshot_20240307-171832.png
Screenshot_20240307-171753.png
 
I concur
kuna jamaa ambaye amewahi kuwa kwenye cabinet na amewahi kuhudumu kwenye vyama vya siasa viwili vikuu na anatoka kanda maalum.
Alianza Frm 1 akiwa na 20+ na washkaji wake walikuwa walimu. wana walikuwa wanamkwepa sana.
Alikuwa anapenda uongozi balaa hadi chuo aliendeleza kuwa against wanafunzi. Nakumbuka kuna kipindi kulitokea bonge la kunji Milima, jamaa akiwa Rais akapotea chuoni mwezi mzima.
Mlikuwa mnamuita "Jeba"
 
Sasa hivi nitakuja na maelezo na picha tukumbushane tulikotoka......!!!
Tuombe uzima maaana umri umeenda tumeshaanza kuzeeka sasa!!!!
Salamu nyingi ziwafikie watu hawa maana vijana wa zamani tunatambua mchango wao
TAJI LIUNDI
JOSEPH KUSAGA
SLIM MAPENDEKO
ZUNGU LA UNGA IDDY
ATHUMAN DIGADIGA
BLACK MOSES.
SUPER NGEDERE
MAKONGORO NYERERE
SOS B
JULIUS NYAISANGA
RUGE MUTAHABA
MZEE KIKWETE
MZEE MKAPA
MZEE WARIOBA
MZEE KINYONDO
MZEE MALECELA
MZEE HASSAN DIRIA
MZEE SHEIKH GOROGOSI
BIBI TITI MOHAMMED
Hawa ni watu ambao wengine wameshatangulia mbele za haki ila walikua hawana roho mbaya...ukitaka ushauri wa namna ya kukabiliana namaisha.
Nisiwe mnafiki nawakubali sana wametusaidia vijana wengi sana.
 
Gorogosi umenikumbusha enzi tunaishi nae kota za bakwata Allah amrehemu.
Black Moses nae tuliishi nae Mwanza kwao familia yake dada yake Shela etc alikuwa anakuja mwanza na Jolee Bebe(Mbilikimo)anapiga hela za show alikuwa mtu poa sana haringi Allah arehemu
 
Daaah kumbe unawafahamu baadhi......ubarikiwe sana mkuu...karibu
 
Back
Top Bottom