Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

Dr Matola PhD
Mzee baba nimesikia Tom Shempemba kafariki mazee, sijui kama umesikia...

Sijui kama unamkumbuka, alichezea Pazi, halafu kuna wakati alichezea Chang'ombe wakati ule Pazi ina kina John Tambwe (Wa mafuta), Atiki, Nyembela, Shaban...
Kafariki lini????
Ebu ngoja niulize mabraza
Screenshot_20240307-171832.png
Screenshot_20240307-171753.png
 
I concur
kuna jamaa ambaye amewahi kuwa kwenye cabinet na amewahi kuhudumu kwenye vyama vya siasa viwili vikuu na anatoka kanda maalum.
Alianza Frm 1 akiwa na 20+ na washkaji wake walikuwa walimu. wana walikuwa wanamkwepa sana.
Alikuwa anapenda uongozi balaa hadi chuo aliendeleza kuwa against wanafunzi. Nakumbuka kuna kipindi kulitokea bonge la kunji Milima, jamaa akiwa Rais akapotea chuoni mwezi mzima.
Mlikuwa mnamuita "Jeba"
 
Back
Top Bottom